Je, dakika yake ya mwisho duniani alisemaje? Ilikuwaje?

Je, dakika yake ya mwisho duniani alisemaje? Ilikuwaje?

Hakufia hospitalin..
nakumbuka ilikuwa asubuhi nilikuwa nafua nguo zangu za shule, mzee alitoka chumban kwake akasimama mlangoni akawa ananiangalia nikashtuka nikamwambia mbona umeniangalia muda mrefu sana kuna kitu labda ulitaka uniambie akasema hapana babu akaingia ndani akalala. rip babu.
 
Aliumwa Sana mkuu , ilifikia hatua alikuwa kama na ukichaa hivi .

Tulikuwa tukiishi somewhere ila Ilibidi turudi Kijijini , baadae ya kifo chake ugomvi wa mali ulianza damn .
Nlikuwa mdogo kipindi hicho na dada yangu alikuwa na miaka 11 .

Nilipofikisha umri wa miaka kumi na sita nilipenda yalipokuwa makazi yake , nilikutana na baadhi ya marafiki zake ambao walinieleza kila kitu .

Ilikuwa ni vita ya kugombania mali alizochuma yeye mwenyewe.
Pole sana mkuu
 
kuna viumbe wanaabudiwa,watu waliojiita mungu,kuna masanamu yanayoitwa mungu watu wanayaabudu,kuna yesu mnamuita mungu.
Allah ni Mwenyezimungu mkuu tofauti na hao ndio maana ya ile kauli mkuu.
Kwa kiswahili Allah ni nani?
 
Back
Top Bottom