Je, dakika yake ya mwisho duniani alisemaje? Ilikuwaje?

Dahhhh, ilikuwa jumamisi ya 13/11/2018 Mzee wangu alianguka tu ghafla baada ya kumaliza kusali Jumuia nyumbani kwake. Alimwambia Mama "Mke wangu, usisumbuke kunipeleka hospitali kwani nimeshakufa, nimeuona Yesu na kaniambia nimeshakufa. Kisha akasema, Mungu wangu unisamehe kwa yote niliyotenda nikiwa duniani" Akafunga Macho na mdomo ndio moja kwa moja.
Neema hio
 
Mie alinibusu mara ya mwisho kumbe alikuwa anaenda kuolewa na mwingine[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Pumbaaaaf[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wakati mgumu mno ni ule wakati uhai unatoka - usiombe kitu hicho kikukute. Ukitaka kujua namna utakavyohangaika jaribu kuziba pumzi yako wa dakika kama 3 hivi... au jaribu kujinyonga na kisha ukijitundika mwambie nduguyo awepo hapo ili kabla hujakata roho aikate kamba - then uje utushuhudie uchungu wake.

Kwa kweli kifo ni kitu kichungu mno, na kibaya zaidi ukishazaliwa tu lazima ushuhudie maumivu hayo na baada ya kukata roho hutajua upo wapi, kama ulizaliwa duniani ama laah.

Kifo ni fumbo.
Lkn sio kila mtu anayepitia hali hiyo,hiyo hali huitwa Agon of death/Death Agon,wapo wanaokufa kifo cha starehe (Silent death), Matharani wanaolala usingizi tu na kunapokucha wanakutwa wameshafariki.
 
Dahhhh, ilikuwa jumamisi ya 13/11/2018 Mzee wangu alianguka tu ghafla baada ya kumaliza kusali Jumuia nyumbani kwake. Alimwambia Mama "Mke wangu, usisumbuke kunipeleka hospitali kwani nimeshakufa, nimeuona Yesu na kaniambia nimeshakufa. Kisha akasema, Mungu wangu unisamehe kwa yote niliyotenda nikiwa duniani" Akafunga Macho na mdomo ndio moja kwa moja.
Dah!!!,Wale wanaopinga uwepo wa MUNGU nadhani Kuna kitu cha kujifunza hapa.Acha Mimi niendelee kusali.
 
Dahhhh, ilikuwa jumamisi ya 13/11/2018 Mzee wangu alianguka tu ghafla baada ya kumaliza kusali Jumuia nyumbani kwake. Alimwambia Mama "Mke wangu, usisumbuke kunipeleka hospitali kwani nimeshakufa, nimeuona Yesu na kaniambia nimeshakufa. Kisha akasema, Mungu wangu unisamehe kwa yote niliyotenda nikiwa duniani" Akafunga Macho na mdomo ndio moja kwa moja.
I love this.... natamani nikifa nipate wasaa kama huu
 
Dahhhh, ilikuwa jumamisi ya 13/11/2018 Mzee wangu alianguka tu ghafla baada ya kumaliza kusali Jumuia nyumbani kwake. Alimwambia Mama "Mke wangu, usisumbuke kunipeleka hospitali kwani nimeshakufa, nimeuona Yesu na kaniambia nimeshakufa. Kisha akasema, Mungu wangu unisamehe kwa yote niliyotenda nikiwa duniani" Akafunga Macho na mdomo ndio moja kwa moja.
Sad!
 
Back
Top Bottom