Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Neema hioDahhhh, ilikuwa jumamisi ya 13/11/2018 Mzee wangu alianguka tu ghafla baada ya kumaliza kusali Jumuia nyumbani kwake. Alimwambia Mama "Mke wangu, usisumbuke kunipeleka hospitali kwani nimeshakufa, nimeuona Yesu na kaniambia nimeshakufa. Kisha akasema, Mungu wangu unisamehe kwa yote niliyotenda nikiwa duniani" Akafunga Macho na mdomo ndio moja kwa moja.