Je, dakika yake ya mwisho duniani alisemaje? Ilikuwaje?

I love this.... natamani nikifa nipate wasaa kama huu
Mzee aliupata. Mi sikuwa nakaa naye. Nipo kwangu ila Mama alinieleza. Wiki ile alikuwa anatoka kwenye mizunguko yake na anakaa kuangalia UPENDO TV. Anafuatilia Mahubiri, anaimba Mwimbieni Bwana, anasoma Biblia. Kila mara alikuwa anasoma, anaimba na kufuatilia mahubiri. Alikuwa na utaratibu wa kutoa sadaka wakati anasherekea Birth day yake. Alitoa sadaka wiki hiyo. Pia alivuna Mpunga kwani ni Mkulima, akatenga kabisa Fungu la Kumi kuwa wiki hiyo ataipeleka. Ilipofika Jumamosi, wanajumuiya wenzake wakaja kusali pale nyumbani kwake. Wakasali, walipomaliza ndipo akaanguka ghafla baada ya dakika 5 akazinduka na akasema "Mke wangu usilie wala kusumbuka kunipeleka Hospitali, nimeshakufa kwani nimemuona Yesu kaniambia hivyo, nyie niombeeni. Kisha akasema Mungu wangu nisamehe kwa yote niliyotenda nikiwa duniani". Akafunga Macho na mdomo. Hakuwa anaumwa wala nini.
 
Mtu kama huyu nitafurahi kifo chake badala ya kulia, ni maisha ya ushuhuda sana sana
 
Aliyewahi kuwa Askofu Mkuu wa KKKT The Late Askofu Dr Sebastian Kolowa, wakati anafariki "nasikia" alishuka kwenye kitanda alichokuwa amelazwa akapiga goti akasali akashukuru Kisha akapanda kitandani akalala usingizi wa mile. Mungu naomba mwisho mwema
 
Baba yangu wa Kiroho,Prophet T B.Joshua(wa huko Nigeria)dakika chache kabla hajafariki dunia aliwaambia wafuasi aliyokuwa nao Muda ule wa dakika zake za mwisho kwamba)Ni baraka kwa nyie ambao mpo pamoja Nani muda huu(2)Watch and Pray !(i.e.Kesheni mkiomba).Wakati hUO anazungumza Hayo, alionekana mzima wa Afya.Baada ya dk 30 kupita,akajisikia vibaya,Akafariki Dunia.
 
Wewe ni Mnigeria???.
 
Mungu gan na yeye ndio mnadai ndio mungu ??
Hii unataka neema kuelewa mkuu. Na ukifundiahwa vema utaelewa tu. Ila sikulaumu maana Kuna ambao wanapotosha sana ukweli kwa kusema Yesu ni Mungu bila kufanya.
 
Back
Top Bottom