Je, dini inaweza kukupeleka kwa Mungu?

Je, dini inaweza kukupeleka kwa Mungu?

Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Dini ni utumwa wa fikra.

Mbingu Haipo.

Heaven is the promise for the poor so that they don't demand happiness on earth.
From Venus Star: God is anything which is beyond of your intelligent abilities. Mungu ni kitu chochote kilicho juu ya uwezo wako wa akili

Mtoto wangu mchanga ananiona mimi ni Mungu
 
View attachment 3066660

Ningependa kujua, je, inawezekana kuwa rais wa nchi wakati wewe si raia wa nchi hiyo?

Pia ningependa kufahamu, Mungu ni wa dini gani? Je, ni Muislamu au Mkristo?

Kwa nini Masheikh na Wachungaji husema kwamba dini haiwezi kukufikisha mbinguni?

Kama dini haziwezi kutupeleka mbinguni, basi kwa nini zipo? Kama Mungu yuko upande wa Wakristo, kwa nini hawapendelei?

Na kama Mungu ni wa Waislamu, kwa nini nao hawapendelei? Je, inamaanisha nini kusema kwamba Mungu ni wa kila mtu?

Kwa nini alitufanya tofauti kwa rangi? Na kwa nini alitufanya tofauti hata kwa jinsi tunavyoishi duniani au kwa kipato?

Kwanini aliumba shida na matatizo?

Na kusema kwamba alituumba kwa mfano wake, ningependa kujua, kama sisi ni mfano wa Mungu, je, hii inamaanisha kwamba Mungu anakula chakula, anaenda chooni, na pia anakabiliana na matatizo kama sisi?

Kama jibu ni hapana, kwa nini sisi, ambao ni mfano wa Mungu, tunateseka hivi wakati yeye ana uwezo mkubwa wa kutusaidia?
Neno dini maana yake ni 👉 HAKI YA MUNGU .
Na hiyo haki ya Mungu anaye itenda anakuwa na sifa ya UTAKATIFU na huo utakatifu ndiyo unao mwingiza mtu peponi.
 
Poponi ni wapi?
 
From Venus Star: God is anything which is beyond of your intelligent abilities. Mungu ni kitu chochote kilicho juu ya uwezo wako wa akili
Unathibitishaje kitu hicho ni Mungu na si kitu kingine?

Mimi natambua nature ndio kila kitu, and everything is part of nature.

Huyo Mungu ni jina uchwara tu,
mlilo jitungia wenyewe.
Mtoto wangu mchanga ananiona mimi ni Mungu
Hakuoni wewe ni Mungu, Anakuona kama baba ambaye ni binadamu kama wengine.

Ulisha sikia mtoto wako akikuita wewe Mungu! Mungu!

Si huwa anaita Baba! Papa! Dad! n.k
 
Unathibitishaje kitu hicho ni Mungu na si kitu kingine?

Mimi natambua nature ndio kila kitu, and everything is part of nature.

Huyo Mungu ni jina uchwara tu,
mlilo jitungia wenyewe.

Hakuoni wewe ni Mungu, Anakuona kama baba ambaye ni binadamu kama wengine.

Ulisha sikia mtoto wako akikuita wewe Mungu! Mungu!

Si huwa anaita Baba! Papa! Dad! n.k
Mzee hasira za nini. Twende taratibu. Usitake dunia yenye watu takriban 8B wafikirie kama wewe.

1. Lazima kwanza uelewe concept ya Mungu. Mungu siyo jina tu bali ni concept iliyotokana na curiosity wa watu.

2. Hiyo unayoiita nature ni kitu gani? Is a thing or a concept?

3. Unatakiwa uanze kujifunza sasa Tofauti ya Science and Faith.

Science inadeal na Physical things kujibu maswali ya How.
Faith ina deal Philosophical issues kujibu maswali ya Why

Usipoelewa Morals, Values and Ethics utasumbuka sana na hii dunia.

Jibu kwanza swali langu la pint no. 2 ndio tuendelee.
 
Unathibitishaje kitu hicho ni Mungu na si kitu kingine?

Mimi natambua nature ndio kila kitu, and everything is part of nature.

Huyo Mungu ni jina uchwara tu,
mlilo jitungia wenyewe.

Hakuoni wewe ni Mungu, Anakuona kama baba ambaye ni binadamu kama wengine.

Ulisha sikia mtoto wako akikuita wewe Mungu! Mungu!

Si huwa anaita Baba! Papa! Dad! n.k
Halafu kitu kinachowatofautisha wanyama na Watu ni Imani. Hapo ulipo upo na imani yako na unaionesha hapa kuwa wewe Imani yako ni kutokuamini Mungu. But you do not have any proof kwamba God does not exists.
 
Dini ni scam! Ukitaka kumuamini Mungu utagundua yafuatayo
1)Hana ubaguzi
2)Huangalia moyo wa mtu na Siyo dini au dhehebu
Njia pekee ya kufika kwake ni kuliamini neno lake. Maana ni UZIMA
 
Je, Mungu yupo na ubinadamu? Tayari katika maelezo yako yapo na ishara ya udini. Unamfanya Mungu awe na hisia kama za kibinadamu.
 
Halafu kitu kinachowatofautisha wanyama na Watu ni Imani.
Unathibitishaje hili?
Hapo ulipo upo na imani yako na unaionesha hapa kuwa wewe Imani yako ni kutokuamini Mungu.
Mimi sina imani ya aina yeyote ile.

Mimi siamini kwenye kuamini.

Mimi sihitaji kuamini kwenye imani ya aina yeyote ile, Mimi nahitaji kujua kwa uthibitisho, ushahidi na uhakika.

Mimi kusema hakuna Mungu, Sio imani.

Bali napinga madai yenu na hiyo imani yenu mliyonayo ninyi mnaodai na kuamini Mungu yupo.

Mimi napinga hiyo imani yenu.

Wewe unayedai huyo Mungu yupo ndio unatakiwa umthibitishe yupoje ili sisi tusiomjua tupate kumjua.

Sasa wewe unaleta madai yako ya kwamba Mungu yupo, Halafu unataka sisi tukuthibitishie madai yako?
 
Wapi huko? Mbona tunazungushana funguka.
Maana unanipa maswali mengi sana. Hatia ni nini?
Hata duniani ilitakiwa watu waovu na wahalifu kuwa na sehemu zao kama jela na wema kuwa na sehemu zao ..nadhani umeekewa
 
Unathibitishaje hili?

Mimi sina imani ya aina yeyote ile.

Mimi siamini kwenye kuamini.

Mimi sihitaji kuamini kwenye imani ya aina yeyote ile, Mimi nahitaji kujua kwa uthibitisho, ushahidi na uhakika.

Mimi kusema hakuna Mungu, Sio imani.

Bali napinga madai yenu na hiyo imani yenu mliyonayo ninyi mnaodai na kuamini Mungu yupo.

Mimi napinga hiyo imani yenu.

Wewe unayedai huyo Mungu yupo ndio unatakiwa umthibitishe yupoje ili sisi tusiomjua tupate kumjua.

Sasa wewe unaleta madai yako ya kwamba Mungu yupo, Halafu unataka sisi tukuthibitishie madai yako?
Kwanza rejea kwenye comment no #26 ujibu swali langu ndio tuendelee.
Nimekuuliza hiyo unayoiita nature ni kitu au concept? Also nimekueleza Mungu siyo jina pekee bali ni concept.

curiosity of people ndio imesababisha existence of God. Hata wewe hapa bado kuna kitu unatafuta kukijua.

Nilikueleza mwanzoni kabisa kwamba.

God is anything which is beyond of your intelligent abilities. Mungu ni kitu chochote kilicho juu ya uwezo wako wa akili
Ukielewa hii. Huwezi ukahangaika na Imani za watu.

Mtoto mdogo anakuona mzazi wake ni kama Mungu lakini akikua atajua kumbe mzazi siyo Mungu maana ataona kuna mambo mzazi hawezi kufanya.

God is a Concept
 
Huyo Mungu ni Concept gani?
 
Huyo Mungu ni Concept gani?
Nakuomba uwe unasoma kabla ya kujibu. Kila kitu nimekuwekea. Na nimekuuliza swali mbona hutaki kujibu?

God is anything which is beyond of your intelligent abilities. Mungu ni kitu chochote kilicho juu ya uwezo wako wa akili
 
View attachment 3066660

Ningependa kujua, je, inawezekana kuwa rais wa nchi wakati wewe si raia wa nchi hiyo?

Pia ningependa kufahamu, Mungu ni wa dini gani? Je, ni Muislamu au Mkristo?

Kwa nini Masheikh na Wachungaji husema kwamba dini haiwezi kukufikisha mbinguni?

Kama dini haziwezi kutupeleka mbinguni, basi kwa nini zipo? Kama Mungu yuko upande wa Wakristo, kwa nini hawapendelei?

Na kama Mungu ni wa Waislamu, kwa nini nao hawapendelei? Je, inamaanisha nini kusema kwamba Mungu ni wa kila mtu?

Kwa nini alitufanya tofauti kwa rangi? Na kwa nini alitufanya tofauti hata kwa jinsi tunavyoishi duniani au kwa kipato?

Kwanini aliumba shida na matatizo?

Na kusema kwamba alituumba kwa mfano wake, ningependa kujua, kama sisi ni mfano wa Mungu, je, hii inamaanisha kwamba Mungu anakula chakula, anaenda chooni, na pia anakabiliana na matatizo kama sisi?

Kama jibu ni hapana, kwa nini sisi, ambao ni mfano wa Mungu, tunateseka hivi wakati yeye ana uwezo mkubwa wa kutusaidia?
Kwani Mungu mwenyewe yupo wapi?
 
Nakuomba uwe unasoma kabla ya kujibu. Kila kitu nimekuwekea. Na nimekuuliza swali mbona hutaki kujibu?

God is anything which is beyond of your intelligent abilities. Mungu ni kitu chochote kilicho juu ya uwezo wako wa akili
Unathibitishaje kitu hicho ni God na si kitu kingine chochote kile?

Au umeamua tu, kupachika hilo jina "God" na kutunga definition yako kwamba, Anything beyond man's intelligent is called God?
 
Ndio maana ninaendelea kueleza. Huwezi ukajibu mswali ya Chemistry kwa kutumia Idea za History.
Nimekuuliza swali kwenye #26 lakini naona unaleta ubishani tu.
Mambo ya Kuthibitisha yanatokea wapi kwenye imani? Ukitaka kuthibitisha kitu nenda kasome sayansi

Imani huwa ina deal na Morals, Values and Ethics? Mbona mzee kichwa chako kigumu sana kuelewa?

Ukisoma hiyo comment yangu #26 Imeeleza vitu vingi sana.
Sayansi inajibu maswali ya How
But Imani inajibu maswali ya Why

Je unajua maana ya Concept? Halafu wapi mimi nimesema God ni Kiumbe kilichopewa jina?
Nimekueleza Existence of God is a concept derived from the curiosity of human.

Sasa jibu swali langu
Mimi natambua nature ndio kila kitu, and everything is part of nature.

What is Nature?
 
Unathibitishaje kitu hicho ni God na si kitu kingine chochote kile?

Au umeamua tu, kupachika hilo jina "God" na kutunga definition yako kwamba, Anything beyond man's intelligent is called God?
Nyongeza:
Kwa sababu ninafundisha hapa. Ngoja nikufungue macho.

Je, unaweza kuthibitisha kuwa wewe ni Mtanzania?
Je unaweza kutuonesha Tanzania?

Imani ni hisia. Ndio maana unaweza kumwambia mtu unampeda but you cannot prove it.
 
Back
Top Bottom