Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Nikuongezea tena.Unathibitishaje kitu hicho ni God na si kitu kingine chochote kile?
Au umeamua tu, kupachika hilo jina "God" na kutunga definition yako kwamba, Anything beyond man's intelligent is called God?
Najua unajua kuna vyama vya siasa. Unajua kuna makampuni.
Unaweza kutuonesha Chadema?
Unaweza Kutuonesha CCM?
Unaweza kutuonesha Demokrasia?
But kuna wafuasi wa vyama hivyo vya siasa wengi tu. Je wanafuata nini sasa? Je wewe ni mfuasi wa chama gani? Je wewe ni mpenzi wa timu gani ya mpira? Je, timu yako ikifungwa unajisikiaje?
Ukishaelewa hayo mambo madogo madogo ndio tutakuja kuongelea kuhusu God