Kwa msomaji makini wa vitabu hivyo utaelewa yaliyomo yanalenga wakati gani, mfano Waisrael waliambiwa wamtazame nyoka wa shaba watapona, lakini Wakristo hatumtazami nyoka Ili tupone bali YESU.Jino kwa jino ni wale kabla ya Kristo, Mkristo alipizi ubaya kwa ubaya kama zamani bali ubaya kwa wema, hili ni somo la emotional intelligence mbinu za kuishi na mtu mwenye hasira au jinsi ya kujitibu tatizo la hasiraKwa ni hayo maagizo bado yapo kwenye vitabu vya kiimani kwa nini sasa haya kupata kufutwa kama ni maagizo yaliyo kisha muda ?
Na kwa nini maagizo yawe ya umwagaji mkubwa wa damu wakati huo unasema maamrisho ya dini ni upendo ?
Huo upendo una onekana wapi huku mapanga yakishikwa ?