Shida huja kama utayatumia yasiyokuhusu,ukuamrishwa wewe kwann ule pilipiliHakuna shida kwa mamrisho ya mauaji kuendelea kudumu katika vitabu vya waamini ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida huja kama utayatumia yasiyokuhusu,ukuamrishwa wewe kwann ule pilipiliHakuna shida kwa mamrisho ya mauaji kuendelea kudumu katika vitabu vya waamini ?
Kumbuka crussade hai kupiganwa dhidi ya waislam tu hata kwa raia wa nyingine za ulaya nao walionja maumivu ya crussade war .Hawa walipigania dini lakini sio maagizo ya dini.
Hizi vita dini iliingizwa Ili kulinda himaya.
Crusade, Wakatoliki walitembeza majambia hatari kwa waislamu Ili kuwablock wasienee ulaya.Kumbuka wakatoliki ndio walioanzisha Uislamu Ili kuwatawala waarabu ndani ya mfumo mmoja ( Islam ).
Kwa hiyo kwa matendo wale walio sambaza dini walikua wahuni na wala hawa kuwa wana dini licha ya kua mahali walipo sambaza hizo dini kwa njia ya mauaji mpaka leo dini zimemea ?Matendo ni kipimo tosha.
Kuna matendo ya dini na matendo yasiyo ya dini
Kwa hiyo na mafundisho mengine yote yaliyo ndani ya hivyo vitabu haya wahusu wale ambao hawa kupewa hayo maelekezo kuya zingatia na kuya tekeleza ?Shida huja kama utayatumia yasiyokuhusu,ukuamrishwa wewe kwann ule pilipili
Kuna maaagizo yalihusu kabila fulani au Jamii fulani kwa wakati ule,mfano kutengeneza safina, na sheria zingine za zamani sisi baada ya Kristo hayatuhusuKwa hiyo na mafundisho mengine yote yaliyo ndani ya hivyo vitabu haya wahusu wale ambao hawa kupewa hayo maelekezo kuya zingatia na kuya tekeleza ?
Je hivyo vitabu ni vya kundi fulani la watu au ni vya waamini wote wa hizo dini ?
Kuua yeyeto asiye na hatia sio agizo la diniKwa hiyo kwa matendo wale walio sambaza dini walikua wahuni na wala hawa kuwa wana dini licha ya kua mahali walipo sambaza hizo dini kwa njia ya mauaji mpaka leo dini zimemea ?
Je hizo hizo dini zilizo sambazwa na wahuni na mafundisho yake yana paswa kutafasirika kama ya kihuni mfano maamrisho ya mauaji na vita si ndivyo ?
Dini ni pana inategemea na wewe unaichukulia kwa tafsiri yako kinegative au positive.Kumbuka crussade hai kupiganwa dhidi ya waislam tu hata kwa raia wa nyingine za ulaya nao walionja maumivu ya crussade war .
je dini ni upendo au ni mauaji na visa vya kutisha ?
Mungu amiliki makundi ya wahuni,pili ni ushahidi gani walichochewa na Mungu na sio shetani kufanya mauaji kupitia dini Ili kuichafuaKwa hiyo na huyo Mungu mkuu wa hizo dini ukristo,uislam na uyahudi ali wabrainwash wafuasi wake na kuwa amuru kutekelezeka mauaji kupitia vita vilivyo acha simanzi kubwa kwa watu ?
Ila yalikua magizo ya Mungu wa dini hizo kwa wafuasi wake kuua watu wa maeneo fulani kutokana na maamrisho ya huyo Mungu kwa hao watu kutendewa hayo ? Huya maamrisho ya huyo Mungu wa hizo dini unaweza kuya pata kupitia maandishi yapatikanayo kwenye hivyo vitabu vya hizo dini .Kuua yeyeto asiye na hatia sio agizo la dini
Kwa hiyo usambazaji wa hizo dini ulicho chewa na shetani ? Kwa hiyo ni haki kusema huyo Mungu wa hizo dini ndie shetani mkuu mtoa maagizo si ndivyo ?Mungu amiliki makundi ya wahuni,pili ni ushahidi gani walichochewa na Mungu na sio shetani kufanya mauaji kupitia dini Ili kuichafua
Je ni ujanja au ni uhuni kusambaza dini kwa matumizi ya upanga kufyeka wale wasio waaminio ?Walituacha tunaishangaa Biblia, tukifunga macho na kusali, wakachukuwa utajiri wetu wa Afrika. Kibaya zaidi wakapiga marufuku imani zetu wakidai tunaabudu mizimu. Wafu wao ni watakatifu ila wetu ni mizimu. Je unaona hiyo vita?? Hakika hizi dini hazitakifikisha kwa Mungu wa kweli. Ni maujanja tu ya Wazungu.
Shetani uchochea watu wauane kupitia diniKwa hiyo usambazaji wa hizo dini ulicho chewa na shetani ? Kwa hiyo ni haki kusema huyo Mungu wa hizo dini ndie shetani mkuu mtoa maagizo si ndivyo ?
Sio maagizo ya diniLina baki kuwa jambo la positive kwa kuua maelfu na maelfu kwa upanga si ndivyo ?
Mungu haitaji msaada wa Mwanadamu kumpigania ujipigania mwenyeweIla yalikua magizo ya Mungu wa dini hizo kwa wafuasi wake kuua watu wa maeneo fulani kutokana na maamrisho ya huyo Mungu kwa hao watu kutendewa hayo ? Huya maamrisho ya huyo Mungu wa hizo dini unaweza kuya pata kupitia maandishi yapatikanayo kwenye hivyo vitabu vya hizo dini .
Hakuna maamrisho kwa dini zote kuwalazimisha watu waingie dini bali wameagizwa wawaingize kwa upendo na sio nguvuJe ni ujanja au ni uhuni kusambaza dini kwa matumizi ya upanga kufyeka wale wasio waaminio ?
Je dini ni upendo au ni mauaji ya kutisha, vita, visasi ?