Kaagiza Wayahudi kumuua naniSentence haija kamilika hiyo soma tena nime ikamilisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaagiza Wayahudi kumuua naniSentence haija kamilika hiyo soma tena nime ikamilisha.
Kama kaagiza kuua asingewapa amri kumi usie.Vyote vipatinavyo juu ya ardhi pasipo kuacha hata kimoja hai. Je haya maagizo hawa kupewa wayahudi na huyo Mungu kutekeleza ?
Ni upendo upi wa kufyeka vichwa vya watu kwako huo ni upendo ?Kama kaagiza kuua asingewapa amri kumi usie.
Amri kumi zote zinahimiza upendo.Zimegawanyika fungu mbili juu ya mwanadamu kumpenda Mungu na zilizobaki ni maagizo ya mwanadamu kumpenda mwanadamu mwenzake.
SAsa uoni dini ni upendo hapo
Unaitazama dini in negative way.Ni upendo upi wa kufyeka vichwa vya watu kwako huo ni upendo ?
Mkuu nimefuatilia uko active kweli ila ngoja nikupe hoja...Dini haifundishi mabaya
Duh muogope hata Mungu...kwanini udanganye kiasi hiki?Swali je yote waliyotenda hayo yapo kwenye maamrisho ya vitabu vyao yaani kwenye Torah vitabu vya Wayahudi, Biblia Wakristo na Quran waislamu. Kama hayapo kwenye miongozo ya vitabu hivyo vitatu hayo yalifanywa kwa mwamvuli wa dini na sio maagizo ya dini.
Hakuna dini inayoruhusu kuua ktk dini hizo.
Ishu ya maadili imekuwpo kwa mwanadamu hata kabla ya ujio wa dini.Mfano hata kabla ya ujio wa dini waafrika waliishi kimaadili.Dini na maadili ni kitu kimoja.Mkuu nimefuatilia uko active kweli ila ngoja nikupe hoja...
Yapo madhehebu ambayo ukiingia tu wanataka ujitenge na watu wa madhehebu mengine, hata kama ni ndugu zako,
Pia inatakiwa utambue kuwa kuna watu hawana dini na wanayaishi maadili kuliko wenye dini, biblia ni kitabu kama vitabu vingine
Weka wazi uongo huoDuh muogope hata Mungu...kwanini udanganye kiasi hiki?
Kwahyo kipindi wana wa israel wanaenda kuua vijiji na kuchinja watoto ilikuwa sio maagizo ya mungu?Weka wazi uongo huo
KWA wakati ule na KWA kusudio lile ambalo halikuwa endelevu.Kwahyo kipindi wana wa israel wanaenda kuua vijiji na kuchinja watoto ilikuwa sio maagizo ya mungu?
Unaitazama dini in negative way.
Hakuna dini inayoamrisha mabaya
Hata shetani upotosha watu kupitia diniDini zote ziliua zote zilitesa kwa kutumia Jina LA Mungu. They can't now try to separate eti kuwa yalikuwa maamuzi Yao binafsi........ DINI NI kazi ya mwanadamu. So cha mwanadamu lazima kina MAKOSA NA MAKOROKORO KIBAO
Ongezea ‘Baltic Crusades’.
Hizi hapa ni baadhi ya vita zilizo mwaga maelfu na maelfu ya damu zilizo piganwa na hizi dini kubwa maarufu nizi zungumziazo huku zikivishwa kiremba cha “vita takatifu”sifa na utukufu kwa huyo wanaye muabudu:-
i, First crussade, 1096
ii, Second crussade, 1145-1149
iii, Third crussade,1189
iv, Fourth crussade, 1202-1204
v, Fifth crussade, 1213
vi, Sixth crussade, 1228
vii, Jerusalem massacre, 1099
viii, Children's crussade, 1212
ix, Spanish christian - Muslim war, 912- 928
x, Spanish christian- Muslim war, 977- 997
xi, Spanish christian- Muslim war, 1001- 1031
xii, Spanish christian- Muslim war, 1172- 1212
xiii, Spanish christian - Muslim war, 1230- 1248
Xiv, Christians- Donatists war, 317
xv, Christians- Estonians war, 1208- 1224
xvi, Battle of Badr, 624 AD
xvii, Battle in Uhud, 625
xviii, Battle in Mecca, 630
ix, Battle in Hunayn, 630
x, Battle in Khandaq, 627
xi, Jihad wars in west Africa, 19th century
Na vita zengine nyingi sana hizi dini zili husika katika umwagaji wa damu mkubwa.
Hii inatokea pale wanaodai wanafuata dini fulani (hizo tatu ulizotaja) hawafuati kikamilifu.Maisha ya hawa watu wenye hizi dini kubwa kwa asilimia kubwa yame tawaliwa na majungu, chuki, visasi na masengenyo kwa wale wasio wafuasi wao, ustaarabu kwa asilimia kubwa kwa jamii ya wana dini umekosekana haya unaweza ukaya shuhudia pia kupitia jazba na michango yao humu majukwaani iliyo jaa chuki, hasira na lugha chafu.
Maana ya dini ni; Dini ni mfumo wa maisha ya wanaadamu, kwa maneno mengine ni muenendo mzima wa maisha ya mwanaadamu ndiyo dini.Makundi ya kigaidi mengi yanayo sambaza hizi dini kwa njia ya upanga na mauaji ya kutisha kwa wale wasio fungamana nao, huu umekua utamaduni wa usambazaji wa hizi dini kwa njia iliyo ya mabavu ya kutisha toka kale.
Maswali:
1.Lengo hasa la uwepo wa hizi dini hapa duniani ni nini ? [ hasa hasa hizi dini kuu tatu ukristo,uislam na uyahudi ] na je mpaka sasa hizi dini zipo ndani ya lengo au zipo nje ya lengo ?
Dini ktk uhalisi wake hakuna kushika mapanga, haya mapanga ya akina Anti Baraka, Al Qaeda, Alshabaab, Lord Resistance Army na wenzao wako kinyume kabisa na mafundisho ya dini zote tatu.2. Kwa nini hizi dini zina imba wimbo wa amani huku zikiwa zimeshika mapanga?
Dini hizo zote zinahimiza upendo na ushirikiano baina ya watu wa imani tofauti.3. Kwa nini hizi dini zina endekeza ubaguzi, chuki, masengenyo na uharibifu mkubwa kwa wale wasio wa amini ?
Mafundisho ya dini hizi zote yanafundisha Mungu wa upendo.4. Je hizi dini zina abudu Mungu wa upendo au zina abudu Mungu wa Vita, chuki, visasi, ubaguzi na masengenyo ?
Hapana, kimsing jamii unayoiona hii leo ni matokeo ya wao kwenda makanisani na Misikitini, unadhani zimeharibika? Basi jaribu kuondoa hizi dini uone uharibifu ulio wa kweli.5. Je hizi dini zime shindwa kustaarabika ?
Zipo sababu za msingi ktk kuanziwha vita takatifu kwenye dini hizi.6. Kwa nini vita za umwagaji mkubwa wa damu zilitwa vita takatifu? Je zilikuwa ni maigizo ya huyo Mungu wao kuzi tekeleza kwa watu ?
Wasambazaji halisi wa hizi dini Mussa (AS), Yesu (AS) na Muhammad (PBUH) walikuwa ni watu wema na mfano bora sana kwa watu wao na ndiyo maana walipata wafuasi wengi sana.7. Kwa nini usambazi wa hizi dini uliji kita katika visa na utiaji wa hofu kuliko upendo na amani kama wasemavyo wao kupitia picha ya nje ya dini zao ?
Hapana, idadi kubwa ya waumini hawajui sehemu kubwa ya historia ya Dini zao.8. Je waamini wake wana zifahamu historia ya hizi dini zao kwa kina ni wapi zimetoka, zipo na ziendako au wame baki kuwa waamini tu ?
Ni hatarishi kivipi? Sijaelewa9. Kwa nini hizi dini kuu tatu zili kuwa na bado mpaka sasa ni hatarishi kwa dini zengine zisizo shabihiana kiutendaji ?
Mwafrika si mtumwa tena, Mwafrika ni mtu mwerevu mwenye maarifa ha mazingira yake.10. Ipi nafasi ya mwafrika katika hizi dini ?
Mwenye swali la ziada una weza ongeza, karibuni wadau.
Usiongee kitu ambacho hauna uhakika nacho, jadili mambo ambayo Una elimu nayoHawa walipigania dini lakini sio maagizo ya dini.
Hizi vita dini iliingizwa Ili kulinda himaya.
Crusade, Wakatoliki walitembeza majambia hatari kwa waislamu Ili kuwablock wasienee ulaya.Kumbuka wakatoliki ndio walioanzisha Uislamu Ili kuwatawala waarabu ndani ya mfumo mmoja ( Islam ).
Unaweza thibitisha haya madai yako mkuu?Hawa walipigania dini lakini sio maagizo ya dini.
Hizi vita dini iliingizwa Ili kulinda himaya.
Crusade, Wakatoliki walitembeza majambia hatari kwa waislamu Ili kuwablock wasienee ulaya.Kumbuka wakatoliki ndio walioanzisha Uislamu Ili kuwatawala waarabu ndani ya mfumo mmoja ( Islam ).