Adui wa dini ni shetani so utumia watu kuharibu kupotosha diniKwa hiyo dini zime tawaliwa na shetani ? Na hao wafuasi wa hizo dini ni wafuasi watiifu wa huyo shetani ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Adui wa dini ni shetani so utumia watu kuharibu kupotosha diniKwa hiyo dini zime tawaliwa na shetani ? Na hao wafuasi wa hizo dini ni wafuasi watiifu wa huyo shetani ?
Dini haifundishi mabayaIla mafundisho yake yana wahusu si ndivyo ?
Je ni upendo upi ulitumika kuwa ingiza hao watu humo ? Au mauaji ya upanga yaliyo na yanayo gharimu maisha ya watu kwako wewe ni ndio tafsiri ya upendo ?Hakuna maamrisho kwa dini zote kuwalazimisha watu waingie dini bali wameagizwa wawaingize kwa upendo na sio nguvu
Kwa waumini wa hizo dini wanamuabudu shetaniKwa hiyo hao watu wali tumiwa na huyo shetani kusambaza hizo dini ? Anhaa kwa hiyo ni sahihi kuziita hizo dini kuwa ni dini za huyo shetani ?
Wapi Mungu aliagiza Crusade na jihadJe ni upendo upi ulitumika kuwa ingiza hao watu humo ? Au mauaji ya upanga yaliyo na yanayo gharimu maisha ya watu kwako wewe ni ndio tafsiri ya upendo ?
Waliamrishiwa naniLakini mauaji ya kutisha ya upanga yana patikana ndani ya dini na vitabu vyake au hayo kwako sio mabaya ni mema yafurahishayo roho yako ?
Wana zitumia dini vibaya au wana tii maamrisho yapatikanayo katika hizo dini au watendayo yapo nje ya duara za hizo dini ?Kuna wakati watu huzitumia dini kwa naskahi yao binafsi na hapa ndipo matatizo yanapkanza,mfano kwenye hoja za kugawana ngawira
Umemsingizia uongoKupitia mafundisho yapatikanayo ndani ya vitabu vya hizo dini.
Wayahudi wanaua kina naniNa huyo Mungu kwa wayahudi .
Kumuua naniUongo ni upi ? Kwa mafundisho ya mauji