Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Kabisa. Bashiru hana lolote. Akina Ndugai, Lukuvi, Kalemani et la wamejikuta kumbe hawakuwa na nguvu yoyoteKuhusu Bashiru Hana hizo nguvu mnazompa hapa, ndio tuliaminishwa Membe ana hizi nguvu au Lowassa ila mwisho wa siku wote tunafahamu yaliyotokea
CCM imeshika hatamu na Rais & mwenyekiti wa chama ana mamlaka makubwa mno yasiyohojika. Kwa mfumo wa sasa huwezi kumchallenge Rais na ukatoboa kirahisi.