Muju4
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 5,489
- 7,446
Anachokiongea Bashiru ni cha ukweli ila naye aliongoza watu tukawa tunasifu kwa pamoja, hivyo anapokemea watu kumsifia Rais anakosea sana.Bashiru hana hiyo power mnayotaka kumpa.
CCM wote ni wachumia tumbo na kwa nguvu alizopewa Rais na mwenyekiti wa CCM, akikohoa tu wanayumba wote na kutenda anachoagiza
So, wakitaka kudeal na Bashiru hatochukua hata masaa 24. Kimsingi Bashiru ndio keshapotea hivyo na huo ubunge wa mchongo anaweza kupokwa muda wowote na aliyemteua & kumtengua asiulizwe chochote
Immediately solution si ajabu akapewa nchi huko akawe balozi ili kumuondoa kwenye active politics.