Je, Dkt. Bashiru ni nani hasa na nani yuko nyuma yake (giza nene)?

Kuhusu Bashiru Hana hizo nguvu mnazompa hapa, ndio tuliaminishwa Membe ana hizi nguvu au Lowassa ila mwisho wa siku wote tunafahamu yaliyotokea
Kabisa. Bashiru hana lolote. Akina Ndugai, Lukuvi, Kalemani et la wamejikuta kumbe hawakuwa na nguvu yoyote

CCM imeshika hatamu na Rais & mwenyekiti wa chama ana mamlaka makubwa mno yasiyohojika. Kwa mfumo wa sasa huwezi kumchallenge Rais na ukatoboa kirahisi.
 
Mkuu, kwa mtazamo wangu naona hawaja mjibu ili wasimpe promo zaidi.
Pia kwenye siasa sio kila mtu hupenda kujibu, mfano Lowassa alikuwa anasemwa hajibu, pia nadhani hata Rais mstaafu Jakaya pia Hana tabia ya kujibu
 
Ndio mnvyojipa moyo?
Sijipi moyo nachangia kama wachangiavo wengine!!

Nasikia huyu jamaa alikuwa na tuhuma FULANI HIVI,je zile tuhuma ni za kweli!!?

Amepata wapi huo ujasiri wa kusema wazi wazi kabisa kuwa haridhishwi na serikali ya mteuzi!!?

Ya BASHIRU sio ya lowasa wala membe!!

Ya BASHIRU hayafananishwi kabisaaaa na makada wengine!!

Na amepata back up ya Warioba na Butiku ambao ni nyerere type!

Unafikiri hao wazee wamejibu KWA Bahati MBAYA!!?

Tena wawili kabisaaaa,KWA lowasa alikuwa kingunge pekee lakinj hakupata back up toka KWA wazee wa NYERERE kama hawa!!!

Mi sibezi andiko!

TUSUBIRI
 
Huo ubunge upo kikatiba mzee, kuondolewa kwake labda apewe Ubalozi wa nchi mana tayari ni Balozi! Afu Kakuru ni akili kubwa kulinganisha na zako na za Kigwangala. Mama anaupiga mwingi eeeeh
Katiba ipi? Sophia Simba alifukuzwa mchana kufikia jioni spika akamvua ubunge yaani hata room ya kwenda kortini hakupewa. So Samia anaweza mvua ubunge na hakuna kitu mtafanya yatakua yaleyale ya Membe.
 
Hawa watu hata mm nawashangaa Sana, hivi huyu Bashiru ni Nani hasa? Na hizo nguvu na Usha wishi wake uko wapi?
Kitu gani alicho ifanyia nchi hii mpaka kuona Ana nguvu na ushawishi mkubwa?
 
Ishu ya Membe ilikaa kimkakati Sana!

Ndio Maana alifunga goli dakika ya 89 (wenye kuelewa wanaelewa)

Hata lowasa ni mchezo ule ule ulifanywa na system KWA MALENGO maalum!!

Na hili la BASHIRU ni mbinu zile zile!

Tuzisubiri zitajibu tu!!!
 
Katiba inasema kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake ili mradi asivunje sheria. Haya wanaomsuta Bashiru waonyeshe sheria aliyovunja! Usimsute mtu kabla ya kutafakari.
Nahisi hicho kifungu kimekaa ki theoretically sio ki practically...

Watawala wanataka sifa sio kukosolewa na awapo tayari kufuata katiba kwa kuhisi au kujua hakuna atakaye wa fanya chochote..
 
Is
Hawa watu hata mm nawashangaa Sana, hivi huyu Bashiru ni Nani hasa? Na hizo nguvu na Usha wishi wake uko wapi?
Kitu gani alicho ifanyia nchi hii mpaka kuona Ana nguvu na ushawishi mkubwa?
Hatumzungumzii BASHIRU kama BASHIRU tunazungumza motive behind ya ujasiri wake ku chalenge Mwenyekiti wa CHAMA!!

Hiyo ni michezo ya wakubwa,yaani system zinapigana KWA maslahi fulani BINAFSI au Taifa!

TUSUBIRI
 
Katiba inasema kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake ili mradi asivunje sheria. Haya wanaomsuta Bashiru waonyeshe sheria aliyovunja! Usimsute mtu kabla ya kutafakari.
Katiba inasema ! Sawa ngoja tuone !!
 
Hapo mwishoni nimepaelewa sana juhudi zifanyike kuliokoa Taifa lakini mi naona ndicho kinachofanywa na Mama.
Reconciliation(Maridhiano)
Resilience(Ustahamilivu)
Reforms(Mabadiliko)
Rebuild (Kujijenga upya)
Tuamini katika hayo kwanza tutafika tu Mama tumuunge mkono na ashauliwe vizuri tu,uzuri anashaulika.
 
Ni kweli kunaweza kuwa na kundi la power mongers nyuma ya Bashiru.
Lakini Bashiru mwenyewe ni expendable pawn.

Hana ushawishi wa kuongea kwa imani ya chama, katumwa yule.

Mwalimu Nyerere aliwahi kutufundisha kumtazama mtu usoni na ku assess kile anav
choongea kama kinatoka moyoni.

Bashiru hana kitu kabisa, anachoongea ni kile alichotumwa.

Wakati wa Magufuli akiwa Katibu Mkuu wa chama hakuwahi kukemea hata siku moja maovu ya Mwenyekiti wake wa Chama, iweje sasa, anapata ujasiri wapi kumkemea Mwenyekiti kiaina.

Si muda mrefu atavunwa alivyopandwa!
 
We nae mganga njaa tu. Huna lolote.

Usjikweze buree na kumkweza huyo Bashiru ambaye alilewa madaraka wakati wa Magufuli akasahau kazi yake anayoiweza vizuri ya kupinga kila kitu. Ndiyo, Bashiru ni mwanaharakati wa kupinga kila kitu...alitulizwa na Magu kwa kupewa madaraka. Akalewa madaraka na kuonyesha rangi yake halisi. Akawa kinara wa kutumia rasilmali za umma kununua wapinzani!
 
Is
Hatumzungumzii BASHIRU kama BASHIRU tunazungumza motive behind ya ujasiri wake ku chalenge Mwenyekiti wa CHAMA!!

Hiyo ni michezo ya wakubwa,yaani system zinapigana KWA maslahi fulani BINAFSI au Taifa!

TUSUBIRI
Wanasemaga If you stand for a reason be prepared to stand alone like a tree! And when you fall down fall like a seed which grows back to fight again !! Ngoja tuone !!
 
Umenena vyema.

Bashiru na kundi lake wanasumbuliwa kuachwa kwenye mfumo...wamewekwa pembeni.. basi ! Hana lolote.

Hebu kumbuka,wakati wa serikali yao,walivuruga kabisa masoko ya mazao yote. Pamba iriporomoka bei.Korosho pia. Kilochotokea kwenye korosho na vituko vilivyotokea kila mwenye akili anajua. Tumbaku,mbaazi,mchele na mahindi,vyote viliporomoka Bei na kukosa masoko. Kule Kagera,ambako Bashiru anatoka,kahawa iliporomoka bei mpaka kufikia sawa na soda...shilingi 700! Bashiru hakusema lolote wala kuchukua hatua!
 
Waswahili wanasemaga ukiona giza limekuwa Nene ujue karibu kunakuchwa !! Hata Hivyo Freedom of expression sio kosa katika hii Nchi !!
 
Reactions: Ame
Duh. !!
 

Uwezo wa jumla wa kitaifa upo chini mno, jambo linalotisha sana...Sijui tutafanyaje ili taifa letu liwe na critical thinking
 
Usipoweza kuzifungua codes utaona maruweruwe siku zote. !! Unaposoma comments try to read between the lines. !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…