Je, Dkt. Bashiru ni nani hasa na nani yuko nyuma yake (giza nene)?

Anachokiongea Bashiru ni cha ukweli ila naye aliongoza watu tukawa tunasifu kwa pamoja, hivyo anapokemea watu kumsifia Rais anakosea sana.

Immediately solution si ajabu akapewa nchi huko akawe balozi ili kumuondoa kwenye active politics.
 
But there is God in heaven who sees all....Hakuna aliyekuwa na nguvu kuliko Pharaoh enzi za Egypt kama super power....Hakuna uovu unaoweza kuushinda wema, ni ushauri tu; mie nimekaa pale!
 
Bashiru ana stress kama mwenzie Polepole.

Dawa yake ni kumpa Ubalozi wa Afghanistan
Bora tufungue Ubalozi Kiev, halafu tumpe atuwakilishe. Kama ataona mbali tufungue Ubalozi mdogo Goma, hapo anafika nyumbani hata kwa baiskeli tu, anaenda kula MATOKE ,then anarudi kituo cha kazi.
 
bashiru sio level yako na hao wapiga domo wenzio.funga bakuli hilo.
 
Cha kuchekesha Bashiru atagombea Ubunge 2025 kupitia chama Cha upinzani afu naye ataanza kulia Lia eti tume sio huru.

Huyu jamaa apigwe virungu mpaka akili zirudi, huwa wanajisahau sana wakipata madaraka.
bashiru hata mama ako akimtoa hapo anaenda kufundisha.Hanaga makuu yule mjamaa wa nyerere
 
sasa taifa limekuwa shamba la bibi kuliko wakati wa magufuli.Nchi inaongozwa kikoo!
 
Na
Nani yuko nyuma yako.

Dr Bashiru msomi wa kiwango cha PhD tena political science tena aliyeshika nafasi za juu kabisa katika taifa hili asiweze kujitegemea kimaoni! Very shame to you.
 
Huo ubunge upo kikatiba mzee, kuondolewa kwake labda apewe Ubalozi wa nchi mana tayari ni Balozi! Afu Kakuru ni akili kubwa kulinganisha na zako na za Kigwangala. Mama anaupiga mwingi eeeeh
Anaweza kupewa hata u DC, after a month or two akatumbuliwa vyote. Ukuu wa wilaya na Ubalozi.
Wakitaka lao hawashindwi.
Mwenda zake si alimtumbua Kidata mpaka hadhi ya UBALOZI.
 
Ww ndio walewale walamba asali,kitu gani mama amekifanya cha maana nchi inazidi kudidimia,inshu ya umeme ina maana mama haoni,watu wanamlalamikia makamba lakn mama amekaa kimya
 
Ww ndio walewale walamba asali,kitu gani mama amekifanya cha maana nchi inazidi kudidimia,inshu ya umeme ina maana mama haoni,watu wanamlalamikia makamba lakn mama amekaa kimya
Wewe sijui ni kipofu?

Yote aliyofanya mama huyaoni?
Karudisha uhuru wa vyombo vya habari.
Miradi yote ya kimkati inaendelea kujengwa Kwa Kasi kubwa

Elimu Bure mpka F6.

Ajira mpya.

Kupandisha madaraja watumishi
Makusanyo ya TRA kupaa bila uporaji wa kutumia task force

Ujenzi wamadarasa katika shule za msingi na sekondari na shule mpya bila kuchangisha wananchi.

Ujenzi wa zahanati,vituo vya afya na hospitali pamoja na ununuzi was vifaa tiba.

Kuongezeka kwa Bei ya mazao yote ya wakulika na masoko ya uhakika.

Orodha ni ndefu mno! Nimechoka kuandika.....
 
Ww ndio walewale walamba asali,kitu gani mama amekifanya cha maana nchi inazidi kudidimia,inshu ya umeme ina maana mama haoni,watu wanamlalamikia makamba lakn mama amekaa kimya
Kuhusu umeme,mvua za mwaka Jana hazikuwa za kutosha hivyo mabwawa hayakujaa sawasawa. Na hata sasa,mvua zimechelewa na zonanyesha chini ya kiwango,hivyo mabwawa hayana maji. Unataka Raisi Samia afanye nini? Alete mvua?

Sometimes muwage munaelewa siyo kulalamika TU!
 
Hii tunaita " go go go!!! I'm covering you" Ha hahahaha!
 
Anachokiongea Bashiru ni cha ukweli ila naye aliongoza watu tukawa tunasifu kwa pamoja, hivyo anapokemea watu kumsifia Rais anakosea sana.

Immediately solution si ajabu akapewa nchi huko akawe balozi ili kumuondoa kwenye active politics.
Kuna utofauti wa kupongeza, kusifu na kushukuru!!!
 
Hii nchi kwasasa haina uongozi wa uhakika chochote kinaweza kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…