Je, Dkt. Dorothy Gwajima ataiweza vita dhidi ya ushoga?

Unajua mimi nimemshangaa, mzazi kabisa anayejielewa anaruhusu vipi mtoto wake atazame channel ya wasafi?

Hapo kosa ni la kwake anamzoesha mtoto wake kufatilia vitu vya hovyo na kuanza kulisha ubongo upumbavu.

Yeye mtu mzima huo muda wa kufatilia hao kina Anko T anaukuta wapi? Anaacha kudownload hata App ya DSE akawekeze na kutazama hisa zinaendaje eti yuko busy kufatilia nani shoga na nani anafanya nini? Si utaahira huo..!!

Hapa JF ni uwanja wa kuchambua hoja sasa yeye kama alifikiri tutapitisha kila chuya inayokuja atapata kisukari sana..!!
 
Me Niko hapa kuona ni jinsi Gani tunaweza kumsaidia Waziri Dr Gwajima kupinga ushoga na harakati zote za ushoga kama alivoanzisha hii movement.
Wewe kama ni bwabwa tambua nyie sio vitu vyangu
Wewe unapinga au unahukumu?
Ukiambiwa weka vithibitisho unavyo?

Acha ujinga wewe box, hata ningekuwa shoga kweli siwezi kukutamani mtu kama wewe ambaye na wewe unahamasika kuwa shoga kwa wigs..!!
 
Wasafi media imesajiliwa TCRA
Hakuna tahadhari kuwa watoto hawapaswi kutazama channel ya wasafi.
Me namfatilia Waziri alitoa hiyo taarifa.
We unataka tupuuze mambo ya maadili ya Taifa na jamii ili mtambe na maushoga yenu.
Tutawapinga na tukipata meno kisheria ni kuwabanika mashoga kama mishikaki,
 
Kwahiyo unasubiria TCRA wakupangie watoto wako channel ipi ya kutazama?? Kweli wewe box na una haki kuhamasika kuwa shoga kwa mawig ya Anko T 😹😹

Meno umekosa ya kumkataza mtoto wako kumtazama Anko T wasafi ndo utaweza kwa mashoga?? Pole sana na soon unakuwa shoga kamili trust me..!!
 
Me nawapinga nyie mashoga na agenda zenu
Hapa laZima tupate sheria ya kuwauwa nyie mashoga hadharani.

Tunapinga ushoga wewe unaumia nini?
 
Wewe ni taahira unahamasika kuwa shoga kwa mawig..!!
Kama ww ni shoga nyoosha maelezo
Uzi unapinga ushoga wewe unalalamika tupuuzie ushoga.

laZima tuwapige mawe kama huko Saudi Arabia
 
Naona uzi unautumia kama nyuklia kwenda kwa watu fulani humu ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…