Je, endapo Jua likimwagiwa Maji nini kitatokea?

Nadhani kabla hayo maji hayajaligusa jua yatageuka mvuke fasta sana
 
Nadhani kabla hayo maji hayajaligusa jua yatageuka mvuke fasta sana
Unaweza ongeza code kidogo kua jua lipo masafa ya mbali je, mvuke utaelekea wapi? Ni juu zaidi au chini au utasambaa tu.

Ila sema hili ni somo kubwa lisikupe taabu sana.
 
Unaweza ongeza code kidogo kua jua lipo masafa ya mbali je, mvuke utaelekea wapi? Ni juu zaidi au chini au utasambaa tu.

Ila sema hili ni somo kubwa lisikupe taabu sana.
Its all about density. Chenye density ndogo kitaelea juu ya chenye density kubwa.
 
Kabla ya kuwagia maji jua hebu jiulize hayo maji utayamwaga ukiwa uko wapi ww mmwagaji? Na kama mdau alivyosema hapo juu hayo maji hata ukifanikiwa kuyamwaga hayatafika kwenye uso wa jua maana yata evaporate.

Joto la jua ni 5,505⁰C. Maji yanakuwa mvuke kuanzia 100⁰C
 
Sasa kama joto ni 1,000,000°C kabla ya kulifikia jua lenyewe,hayo maji yatapenya wapi ili kulifikia jua?
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…