Duh kumbe tuwe na tahadhari tunaweza sababisha bom la kulipua dunia nzimaNakumbuka kuna kipindi nilikuwa naangalia jamaa walikuwa wanaunga Reli,katika ile process kuna uchomaji wa materials flani ambapo joto hufikia 1,200 centigrade,kuna jamaa alichukua ndoo ya maji akamwagia kulitokea mlipuko mkubwa sana kama wa bomu,sasa sijui kwa jua nini kitatokea...
Kweli ila hapo najaribu kufanya nadharia ili tuumize Bongo zetu japo ukweli utabaki palepale kubwa ni kitu kisicho wezekana.Mkuu amka,, acha kuwaza the impossible
Life is a reality, hayo ni mawazo labda kama unataka kutoa Sci-fi Movies
Kweli ila hapo najaribu kufanya nadharia ili tuumize Bongo zetu japo ukweli utabaki palepale kubwa ni kitu kisicho wezekana.
Kweli kabisa hivyo hata sisi tunatakiwa kufanya kitu hapa walau tutengeneze mazingira ya kunufaika na nadharia hii.Hizi nadharia ndio zilifanya dunia ya kwanza kuleta movies ambazo zinashika kasi sana,,, Waliwaza, wakatengeneza uhalisia kwa Computer then wakaacha dunia ione..
Ni nadharia nzuri sana kama ukizitazama kwa jicho la fursa
Yatapelekwa kwa mfumo wa barafu lenye degrees negative sawa na positive degrees za joto la jua.Mkuu hayo maji yatakauka kabla hayajafikiwa na jua
Ndio maana bhang inadharaulikaNINI KITATOKEA TUKILIMWAGIA JUA LETU MAJI[emoji782]
Endapo tutafanikiwa kutafuta ndo au diaba kubwa lenye ujazo sawa na jua kisha tukajaza maji humo baada ya hapo tukaenda tukalimwagia jua maji !;
Kitakachotokea ni kwamba jua [emoji3508] halitazimika bali jua litaongezeka ukubwa na uzito kutokana na kuongezeka kwa hydrogen na oxygen,
na hii sasa itapelekea kutengeneza jua kubwa sana lenye rangi ya bluu na nyeupe.
Kutokana na kumwagiwa maji jua litakuwa kubwa mara 1.8 kushinda size ya awali, kutokana na huo ukubwa litakuwa linaambaa ambaa karibu kabisa na dunia huku sayari zilizo karibu na jua mfano mercury, venus zote zitamezwa na jua.
Watu, wanyama watakimbia huku na kule wakihofia nini kimetokea pia viumbe hai asilimia kubwa watapoteza maisha kutokana na kuongezeka kwa joto.
Nipe kanuni ya utengenezaji wa barafu hiloYatapelekwa kwa mfumo wa barafu lenye degrees negative sawa na positive degrees za joto la jua.
1.Freezers.Nipe kanuni ya utengenezaji wa barafu hilo
Baharini. Inaunganishwa pipe from the ocean to the sunHayo maji yakutosha kulimwagia Jua utayapata wapi?