Je, Ethiopia kujiunga Jumuiya ya Afrika Mashariki kutaharibu au kuimarisha jumuiya hiyo?

😂😂😂 comment yangu soon itakuwa ni umoja wa Africa.

Anyway ukanda huu na SADC ndio sehemu Africa zinautulivu na amani
Ilikua hivo lakin sasa inaenda kuwa historia
Mozambique kuna magaidi
Congo vita ina miaka 30
Hivo na bado Tanzania tunapakana na ukanda wa magaidi msumbiji hivo hatupo salama sana
 
Ethiopia inataka kujiunga na EAC?
Nini madhara na faida?
Je Tanzania na Kenya zitakua bado na sauti ndani ya EAC au ndio mvurugano utaongezeka?
tunaihitaji ethiopia kuliko hata ethiopia inavyotuhitaji sisi. population yao ni over 80,000,000 people, wanao wafanyabiashara wakubwa, hizo SGR mnazohangaika wao walishajenga miaka mingi tu, kwa ufupi, wameendelea kuliko Tanzania, tukifanya nao biashara tutakuwa pazuri kuliko tulipo.
 
DRC pia ina population ya watu milion 100 lakini hakuna namna yyote Tz imefaidika na hilo
 
Mimi bado na kwazika na secretariat ya EAC, zile core objectives ambazo ni: facilitating free movement ya watu na capital, monetary union and eventually federation bado hatujazifikia tunahangaika kujaza nchi, tena nchi zenye migogoro ya ndani.

Hawa watu hawajitambui
Umeongea point ya msingi sana. Mbali na hilo hakuna oia usawa wa resources....Tanzania na Kenya ndio suppliers wakubwa wa resources na tutakuwa tunawafaidisha wakina Somalia, S. Sudan na Ethiopia though nafuu kidogo Ethiopia

Tanzania pekee ina 52% ya Ardhi yote ya East Africa, then wakiungana wao wote ndio wanatengeneza 48% na bado population ya Tanzania inazidi kukua

Sasa Tanzania inafaidi nini kutoka Burundi, Somalia na South Sudan ambacho hatuna hapa nchini?

Viongozi wa Tanzania wanapaswa wajiongeze na wafanye analysis kwanza FaizaFoxy Pascal Mayalla naomba kupata maoni yenu juu ya hili
 
I saw this coming. It was just a matter of time.
 
tunaihitaji ethiopia kuliko hata ethiopia inavyotuhitaji sisi. population yao ni over 80,000,000 people, wanao wafanyabiashara wakubwa, hizo SGR mnazohangaika wao walishajenga miaka mingi tu, kwa ufupi, wameendelea kuliko Tanzania, tukifanya nao biashara tutakuwa pazuri kuliko tulipo.
Yaani ulichoongea ni speculation tu.
South tuko na sadc hayo maendeleo kama ya South mbona hatujayafikia!?
 
Hao wahamiaji haramu ndio watafaidi nchi haifaidiki na wahamiaji haramu
Hujui nguvu ya desapora wewe. Hao unaowaita wahamiaji haramu ndani ya miaka 30 ijayo hela wanayotuma nyumban na ajira wanazozalisha sio za kawaida chief.
 
Ngoja nichimbe deep ntakuletea Ila kwa haraka haraka..

Faida za hizi integration kwa haraka haraka ni..

*Ku wide market (kutanua masoko ya bidhaa)

* Free movement of factors of production ie. labour, capital e.t.c ngoja nipunguze umombo [emoji4]

*Balance of trade (BOT) Mkuu ngoja nipunguze terminology za kiuchumi maana wanauchumi nikisema balance of trade wananielewa[emoji4]

*Kuna faida nyingi sanaa za kiuchumi, kisiasa na kijamii itoshe kusema ivyo nikipata wasaa ntadadavua..

Naona unahamishia notisi za darasani sehemu ambapo haziko applicable.N chi za kiafrika hazina bidhaa za kuuziana zaidi ya mazao ya kilimo.
 
tunaihitaji ethiopia kuliko hata ethiopia inavyotuhitaji sisi. population yao ni over 80,000,000 people, wanao wafanyabiashara wakubwa, hizo SGR mnazohangaika wao walishajenga miaka mingi tu, kwa ufupi, wameendelea kuliko Tanzania, tukifanya nao biashara tutakuwa pazuri kuliko tulipo.
80% ya population ni maskini wa kutupwa, hawana technolojia, ukitoa shirika lao la ndege biashara zingine ni zilezile za kimaskini. In short hawana jipya
 
Ethiopia ni masikini kama tu utailinganisha na population yake! kwa maana wana watu wengi kuliko wanaoweza kuwa mudu lakini kwene uchumi wanau uchumi mkubwa kuliko nchi yyte ya Africa mashariki
 
Umeongea point ya msingi sana. Mbali na hilo hakuna oia usawa wa resources....Tanzania na Kenya ndio suppliers wakubwa wa resources na tutakuwa tunawafaidisha wakina Somalia, S. Sudan na Ethiopia though nafuu kidogo Ethiopia

Tanzania pekee ina 52% ya Ardhi yote ya East Africa, then wakiungana wao wote ndio wanatengeneza 48% na bado population ya Tanzania inazidi kukua

Sasa Tanzania inafaidi nini kutoka Burundi, Somalia na South Sudan ambacho hatuna hapa nchini?

Viongozi wa Tanzania wanapaswa wajiongeze na wafanye analysis kwanza FaizaFoxy Pascal Mayalla naomba kupata maoni yenu juu ya hili

Resource kubwa ni akili. Bila akili hizo unazoziita resource huonekana hazina maana au chanzo cha ugomvi pale pasipo na akili. Sisi tumekosa akili ya kutumia vizuri resource zetu kwaio hiyo pointi ya kuwa na resource material haina mashiko. Huo muungano hakuna atakaefaidika na mwenzake zaidi ya migogoro kwa sababu wote ni maskini,hatuna tekinolojia na hata akili hatuna.
 
Uchumi muhimu uakisi maendeleo ya wananchi ikiwemo tekinolojia, elimu , afya n. K. Na kama unadai wana uchumi mkubwa alafu wana watu wengi hawawezi kuwamudu sasa huo uchumi mkubwa unaonekanaje, huoni hiyo ni contradiction. Ukisema wana GDP kubwa kulinganisha na nchi zingine hapo nitakuelewa.
 
Resource kubwa ni akili. Bila akili hizo unazoziita resource huonekana hazina maana au chanzo cha ugomvi pale pasipo na akili. Sisi tumekosa akili ya kutumia vizuri resource zetu kwaio hiyo pointi ya kuwa na resource material haina mashiko. Huo muungano hakuna atakaefaidika na mwenzake zaidi ya migogoro kwa sababu wote ni maskini,hatuna tekinolojia na hata akili hatuna.
So katika nchi hizo zote ni nchi ipi yenye akili ya kutumia resources sustainably? Kwasababu chumi zetu hazitofautiani sana....hata Kenya na Ethiopia ni wenzetu tu

Wenye akili katika huu muungano ni nani?
 
Ethiopia, Somalia, Somali Land, Dijbout na Eritrea zianzishe Jumuia zao
 
Tuanze kwa kupeleka amani Kongo,tuingie Central Africa Republic then Ethiopia tutamfikia.
 
Umeongea point ya msingi sana. Mbali na hilo hakuna oia usawa wa resources....Tanzania na Kenya ndio suppliers wakubwa wa resources na tutakuwa tunawafaidisha wakina Somalia, S. Sudan na Ethiopia though nafuu kidogo Ethiopia

Tanzania pekee ina 52% ya Ardhi yote ya East Africa, then wakiungana wao wote ndio wanatengeneza 48% na bado population ya Tanzania inazidi kukua

Sasa Tanzania inafaidi nini kutoka Burundi, Somalia na South Sudan ambacho hatuna hapa nchini?

Viongozi wa Tanzania wanapaswa wajiongeze na wafanye analysis kwanza FaizaFoxy Pascal Mayalla naomba kupata maoni yenu juu ya hili
Hakika
 
So katika nchi hizo zote ni nchi ipi yenye akili ya kutumia resources sustainably? Kwasababu chumi zetu hazitofautiani sana....hata Kenya na Ethiopia ni wenzetu tu

Wenye akili katika huu muungano ni nani?
Hawapo, wote wamejaa tamaa na kuvizia fursa uchwara.
 
Back
Top Bottom