kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Hebu wananzengo tuongezeane uelewa kwenye nyanja ya football:
Je, kuna kifungu kwenye katiba ya FIFA, CAF, CECAFA au TFF kinachokataza chama cha siasa kumiliki timu ya mpira wa miguu?
Je, FIFA inakataza chama cha siasa kusaidia kifedha au usajili timu ya mpira wa miguu?
je, FIFA na TFF katiba zao zinakataza timu ya mpira kuchangia chama cha siasa fedha?
Je, historia ya Yanga unaweza kuitenga na historia ya CCM?