☝️Je, historia ya Yanga unaweza kuitenga na historia ya CCM?
Hebu wananzengo tuongezeane uelewa kwenye nyanja ya football:
Je, kuna kifungu kwenye katiba ya FIFA, CAF, CECAFA au TFF kinachokataza chama cha siasa kumiliki timu ya mpira wa miguu?
Je, FIFA inakataza chama cha siasa kusaidia kifedha au usajili timu ya mpira wa miguu?
je, FIFA na TFF katiba zao zinakataza timu ya mpira kuchangia chama cha siasa fedha?
Je, historia ya Yanga unaweza kuitenga na historia ya CCM?
Miaka ya nyuma 90s uto walikuwa wakifunga goli wanashangilia ccm,ccm...hadi simba walipogeuza kibao na wao kuimba ccm wakifunga au uto wakifungwa kama kuwa kejeli.So Yanga ni CCM Sports Club!
Yanga ni mtoto kamili wa TANU na ASP. Sema tu wakati ule watanzania wote walikuwa kwenye chama cha TANU na baadae CCM kwakuwa Tanzania ilikuwa nchi ya chama kimoya. Huu ndio Ukweli wenyewe, hivyo ni chama cha wananchi wazalendo. Simba kwa asili ni timu ya waasia,Neno wananchi sio kwamba linatokana na mambo ya ushiriki wa yanga kwenye ukombozi wa nchi....la hasha ..bali neno mwanachi lilitungwa kipindi yanga Wana ukata wa kiwamgo cha SGR.. wanatembeza mabakuli kuombaomba Ili waweze kuiendesha timu...neno Hilo walilitumia Ili kupata sympathy kutoka kwa mashabiki wao waweze kuwachangia fedha za kuisaidia yanga kufanikisha mahitaji ya timu.
Timú yenu mmeitoa wapi? Mlinunua au mlipewa?Kwaiyo Sisi Wapenzi Wa Yanga tusiochangamana na chawa Wa Mama Mnatufukuza tutafute timu ingine?
Mama huyu atamaliza muda wake na kuondoka! Lkn Yanga itabaki kwaiyo ,Sasa unatuambia Yanga hii dogo Hersi huyu Kaikabidhi CCM?
Kwaiyo historia ya Yanga na CCM huwezi kuzitenganisha?
Sisi Wana Yanga Tunasema hivii hiyo Yanga ni timu ya Boli, ni timu Yetu.
Nguvu tulizowekeza hapo ni kubwa sana,tokea 1935... Haiwezekani Kijana Wa 'Alf mbili' Hersi aje awakabidhi Wahuni timu Yetu...!timu ni Yetu SISI WANANCHI..
Timu tunayo na tunatamba nayo...! tuache janja janja. GSM kama vipi atuachie timu Yetu.!
Wahuni pale Klabuni wasisubutu kukanyaga!
FIFA pia waje waseme kama goli la mama ni sawa au serikali ya chama tawala kuipa timu ndege Bure iende kwenye mechi ya CAF. Tuone kama hapo hakuna siasa.Nyie ongeeni wee mara zama za TANU sijui ASP. sisi wenye soccer letu tunachojua ni FIFA statutes Articles 14-16 and Article 19: Prohibiting political affiliations and penalizing violations. that's why jamaa walivyogundua kwamba wamezingua kwa uchawa wao wakarudi na kusema hela imetolewa na GSM foundation ila isivyobahati FIFA watahitaji Club financial records au Club public statement tu inatosha (eg: club spokesman justifying mchango wao ni jambo la kihistoria) plus na ile kauli ya Eng. Hersi "sisi kama yanga tumechangia..." Qbababake imeisha hiyo
usiniaminishe kwamba watanzania tumekuwa majuha namna hiyo, unadhani hiyo itakuwa hoja ya utetezi kule FIFA?. ipo wazi kabisa clubs zetu viongozi hawana walijualo katika soccer wanakurupuka tu. especially Young Africans kwa upande wa masuala ya kisheria ni zero wanaburuzwa kila siku.FIFA pia waje waseme kama goli la mama ni sawa au serikali ya chama tawala kuipa timu ndege Bure iende kwenye mechi ya CAF. Tuone kama hapo hakuna siasa.
Ukishaingiza serikali hapo siasa kama siasa inajitenga.FIFA pia waje waseme kama goli la mama ni sawa au serikali ya chama tawala kuipa timu ndege Bure iende kwenye mechi ya CAF. Tuone kama hapo hakuna siasa.
Inawezekana uko sahihi lakini hili la 100m is very negligible. Mchango huu hauna adhali yoyote kwenye maendeleo ya mpira wetu na wala hauingilii maamuzi kwenye matokeo ya mpira wetu nchini kuliko hata goli la mama na mashabiki kuvaa t-shirtts zenye picha za wagombea. Hii ni sababu ya kuokoteza tu na wala FIFA hakuna kipengele hicho. Kwahiyo yanga kutoa mchango kwa CCM itanufaikaje dhidi ya timu nyingine kwenye ligi? Maana FIFA inakataza vitu vinavyoadhili mpira au vinavyoingilia uendeshaji wa mpira. Tuambie athali ya Yanga kutoa 100m kwa CCM kwenye soccer letu.usiniaminishe kwamba watanzania tumekuwa majuha namna hiyo, unadhani hiyo itakuwa hoja ya utetezi kule FIFA?. ipo wazi kabisa clubs zetu viongozi hawana walijualo katika soccer wanakurupuka tu. especially Young Africans kwa upande wa masuala ya kisheria ni zero wanaburuzwa kila siku.