Je, Firauni (Pharaoh) alikuwa Mweusi au Mweupe?

mpiga domo

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
852
Reaction score
1,507
Habari za Jioni Wakuu,

Naomba nitumie kiswahili na kiingereza ili kueleweka zaidi.

Mimi naji'consider ni atheist nayeamini zaidi katika facts more than hearsay , ila kuna swali limekua likinitatiza na kunivunja moyo kuhusu science.

Tafuta utafutavyo, Google uwezavyo lakini hutapata jibu straight. Je Firauni(Pharaohs ) of ancient Egypt walikua watu wenye rangi nyeusi au watu weupe?

Mzungu atakuambia ulimwengu (The Universe) ulivyoanza miaka billion 13.7 iliyopita. Atakuambia hadi rangi waliokuwa nayo Dinosaurs miaka million 65 iliyopita. Watakuambia hadi kuhusu kinachoendelea kwenye galaxies billions of light years away from us.

Lakini hawawezi kujibu swali ambalo linamuulizia mtu aliyeishi miaka 3500 iliyopita.

Wakuu mwenye jibu la uhakika kuweka conspiracy theories aside na emotions aside. Je Firauni(Pharaoh) alikuwa mtu mweusi au mweupe?
 
We angalia hata walivyochongwa kwenye mapiramid sura na pua kubwa za Mtu mweusi. Sema Mzungu hataki kukubali hilo ndio maana Ana ukakasi ukimuuliza swali la miaka 3500 tu iliyopita but atasema Ana majibu ya billions of years back
 
Pharaoh alikuwa black,kuna fact zinasema hata wana Wa Israel waliovuka bahar kwenda Israel mostly walikuwa black,soma kitabu kinaitwa the destruction of black civilization na they came before Columbus utajua mengi kuhusu blacks
 
Habari za Jioni Wakuu,

Naomba nitumie kiswahili na kiingereza ili kueleweka zaidi.

Mimi naji'consider ni atheist nayeamini zaidi katika facts more than hearsay , ila kuna swali limekua likinitatiza na kunivunja moyo kuhusu science.

Tafuta utafutavyo, Google uwezavyo lakini hutapata jibu straight. Je Firauni(Pharaohs ) of ancient Egypt walikua watu wenye rangi nyeusi au watu weupe?

Mzungu atakuambia ulimwengu (The Universe) ulivyoanza miaka billion 13.7 iliyopita. Atakuambia hadi rangi waliokuwa nayo Dinosaurs miaka million 65 iliyopita. Watakuambia hadi kuhusu kinachoendelea kwenye galaxies billions of light years away from us.

Lakini hawawezi kujibu swali ambalo linamuulizia mtu aliyeishi miaka 3500 iliyopita.

Wakuu mwenye jibu la uhakika kuweka conspiracy theories aside na emotions aside. Je Firauni(Pharaoh) alikuwa mtu mweusi au mweupe?
Jiulize misri hivi sasa wanakaa watu weusi au weupe?
 
9f79c858084457af036856e63bef29ae.jpg
picha yake hyo.
 
Ma "Pharaoh" wapo wengi si mmoja, kuna weusi, njano, kijani, samawati, weupe, wekundu, - you name it.

So what?

Tunataka kubaguana mpaka kwa mafirauni?
 
Back
Top Bottom