Itapatikana maana kwa taasisi zilizo simama imara kama cdm huwa na mipango mirefu na mifupi.Haiwezi kupatikana leo wala kesho
Ni kweli!Haiwezi kupatikana leo wala kesho
Labda!Itapatikana maana kwa taasisi zilizo simama imara kama cdm huwa na mipango mirefu na mifupi.
Hata kama haitapatikana leo basi itapatikana kesho kutwa.
Siyo lazima kizazi chetu kiyaone matunda ya wana cdm bali hata kizazi kijacho wana haki ya kufurahia matunda ya wana cdm.
Hahahaaaa.........!Umemjibu vyema huyu Mnafiki
Wewe jamaa mnafiq sana.Nimepitia hotuba zake za kampeni mwaka 2005 wakati anagombea urais na kushuhudia madini na mipango mbadala ya maendeleo aliyoinadi.
Nabaki najiuliza ilikuwaje akarudi tena kugombea ubunge wakati hiyo level alishaipita?
Au yeye binafsi alivipima viatu vya Rais akaona havimtoshi?
Mungu wa mbinguni awabariki sana.
Maendeleo hayana vyama!
Utajua weweLabda!
Bila huyu neno unafiki lisingekuwepo duniani.Wewe jamaa mnafiq sana.
Hivi huyu jamaa ni ke au me?Bila huyu neno unafiki lisingekuwepo duniani.
Huyo ni ME alikuwa mesenja pale TRC alikuwa anauza chai buffet roomHivi huyu jamaa ni ke au me?
Jabali la siasa Afrika mlezi wa vijana wengi,Nimepitia hotuba zake za kampeni mwaka 2005 wakati anagombea urais na kushuhudia madini na mipango mbadala ya maendeleo aliyoinadi.
Nabaki najiuliza ilikuwaje akarudi tena kugombea ubunge wakati hiyo level alishaipita?
Au yeye binafsi alivipima viatu vya Rais akaona havimtoshi?
Mungu wa mbinguni awabariki sana.
Maendeleo hayana vyama!
Babu bado upo macho?Ni kweli!
Well saidItapatikana maana kwa taasisi zilizo simama imara kama cdm huwa na mipango mirefu na mifupi.
Hata kama haitapatikana leo basi itapatikana kesho kutwa.
Siyo lazima kizazi chetu kiyaone matunda ya wana cdm bali hata kizazi kijacho wana haki ya kufurahia matunda ya wana cdm.
Hahahaaaa.........!
Long Live Freeman Aikael MboweDo You remember, when You walked among men
Well Jesus You know if You're looking below
It's worse now, than then
Pushing and shouting
That's crowded my mind
So for my sake, teach me to take
One day at a time
Hahahaaaa........ Lowassa wa Chadema alipita pale akienda vitani Kagera!Huyo ni ME alikuwa mesenja pale TRC alikuwa anauza chai buffet room
Leo ilikuwa aje muuza mbege mwingine lakini kaingia mitini!Babu bado upo macho?
Ndiyo maana ana vielement vya ubarmaid fulani hivi.Huyo ni ME alikuwa mesenja pale TRC alikuwa anauza chai buffet room
Utakamatwa weweLeo ilikuwa aje muuza mbege mwingine lakini kaingia mitini!
Kwanini manka?Utakamatwa wewe