Je, Freeman Mbowe ni Presidential material?

Je, Freeman Mbowe ni Presidential material?

Haiwezi kupatikana leo wala kesho
Itapatikana maana kwa taasisi zilizo simama imara kama cdm huwa na mipango mirefu na mifupi.

Hata kama haitapatikana leo basi itapatikana kesho kutwa.

Siyo lazima kizazi chetu kiyaone matunda ya wana cdm bali hata kizazi kijacho wana haki ya kufurahia matunda ya wana cdm.
 
Labda!
 
Nimepitia hotuba zake za kampeni mwaka 2005 wakati anagombea urais na kushuhudia madini na mipango mbadala ya maendeleo aliyoinadi.

Nabaki najiuliza ilikuwaje akarudi tena kugombea ubunge wakati hiyo level alishaipita?

Au yeye binafsi alivipima viatu vya Rais akaona havimtoshi?

Mungu wa mbinguni awabariki sana.

Maendeleo hayana vyama!
Wewe jamaa mnafiq sana.
 
Jabali la siasa Afrika mlezi wa vijana wengi,
 
Itapatikana maana kwa taasisi zilizo simama imara kama cdm huwa na mipango mirefu na mifupi.

Hata kama haitapatikana leo basi itapatikana kesho kutwa.

Siyo lazima kizazi chetu kiyaone matunda ya wana cdm bali hata kizazi kijacho wana haki ya kufurahia matunda ya wana cdm.
Well said
 
Hahahaaaa.........!

One Day at a Time​

Meriam Bellina

I'm only human, I'm just a woman
Help me believe in what I could be
And all that I am
Show me the stairway, I have to climb
Lord for my sake, teach me to take
One day at a time
One day at a time sweet Jesus
That's all I'm asking of You
Just give me the strength
To do everyday what I have to do
Yesterday's gone sweet Jesus
And tomorrow may never be mine
Lord help me today, show me the way
One day at a time
Do You remember, when You walked among men
Well Jesus You know if You're looking below
It's worse now, than then
Pushing and shouting
That's crowded my mind
So for my sake, teach me to take
One day at a time
One day at a time sweet Jesus
That's all I'm asking of You
Just give me the strength
To do everyday what I have to do
Yesterday's gone sweet Jesus
And tomorrow may never be mine
Lord help me today, show me the way
One day at a time
One day at a time sweet Jesus
That's all I'm asking of You
Just give me the strength
To do everyday what I have to do
Yesterday's gone sweet Jesus
And tomorrow may never be mine
Lord help me today, show me the way
One day at a time
Lord help me today, show me the way
One day at a time (one day at a time)
 
Do You remember, when You walked among men
Well Jesus You know if You're looking below
It's worse now, than then
Pushing and shouting
That's crowded my mind
So for my sake, teach me to take
One day at a time
Long Live Freeman Aikael Mbowe
 
Tz kuna shida sana, vyama upinzani vinaibiwa sana kura za Urais, hivyo kupunguza ruzuku ambayo ingesaidia kuvijenga na kujiendesha, Mbowe ni presidential material no doubt! Licha ya likesi likubwa lililoandaliwa toka enzi za jiwe!
 
Back
Top Bottom