Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kamuulize yeye sasa.Ile GX 110(Mark 2) aliyokua anatafuta fundi kule Tabata ilikuja kupona?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamuulize yeye sasa.Ile GX 110(Mark 2) aliyokua anatafuta fundi kule Tabata ilikuja kupona?
Kamuulize yeye sasa.
Hayo magari hata kwa wenzetu likipita lazima wageuze shingo, likipaki lazima wapige selfie. Yako very unique na machache hata kwa wenzetu.
Wabongo bana tutafte pesa jamani, hivi gari ya $1M inakuwaje feki! Gari hata za 5M tu sio feki, watu wanachukulia gari kama jinzi za kichina za elf19?brands za gari zilizotajwa hapo juu mfano ferrali, hakuna fake kwa sababu kampuni ni kubwa hizo utazitengenezea wapi fake ?
Tafuta hela dogo.Tanzania kununa gari kama hiyo kwa kutumia barabara zipi? Huo ni ubishoo tu kutokana na utajiri wa magumashi!!
Kiduku lilo. Jamaa ana pesa chafu kinyama. Ana magari ya maana huyu jamaa. Anasema hatumii mjapan
Ingia instagram uone halaf uache ubishi
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
afuta hela dogo.
Hapo bado hujatafuta hela bado.Sawa, lakini ukiipata lazima uitimie kwa akili kwani inatabia ya kupotea pia!!! Na ikipotea baada ya kuitumia vibaya huwa hairudi kabisa.
Hahahah aiseeeWabongo bana tutafte pesa jamani, hivi gari ya $1M inakuwaje feki! Gari hata za 5M tu sio feki, watu wanachukulia gari kama jinzi za kichina za elf19?
Kama umeona video,jua it's not really ...Ni graphics watu wanacheza nazo.....hapana ilikuwa video ina plate number ya tanzania kabisa na haikuwa apo viva tower ilikuwa imepaki pale benjamin mkapa tower kwa nyuma mkuu, lenyewe kabisa nikajisemea duuuh...kama mtu ana ile video anaweza akakuonyesha
Haji manara ni BugattiHakuna Bugatti Tanzania man, tungekuwa tushaipiga picha man...
Haji manara ni Bugatti