Je, gari hizi Bongo zipo? Je, watu gani maarufu wanatembelea?

Je, gari hizi Bongo zipo? Je, watu gani maarufu wanatembelea?

Na hawa wakali wa luxury vp kuna rr ....na bently molsane nathani
hotrides_1612255992042880.jpg
hotrides_1612255991386626.jpg
 
Hayo magari hata kwa wenzetu likipita lazima wageuze shingo, likipaki lazima wapige selfie. Yako very unique na machache hata kwa wenzetu.

Tanzania kununa gari kama hiyo kwa kutumia barabara zipi? Huo ni ubishoo tu kutokana na utajiri wa magumashi!!
 
Ferrari -Zipo Nyingi sana ,Mtoto wa Bakhresa anayo.
Lambogini - Davis Mosha anayo ya njano
Rozi Rozi - Zipo hata Nyerere alikuwa anatembelea Rozi rozi ,Kuna mSanii m1 aliagiza Rozi Rozi Tangu 2016 bado lipo kwenye maji.
Buggati - Bongo Hakuna

Hummer,Escalade ,BMW 745 ,X6 za kutosha sana ,nakumbuka zamani wasanii wa marekani walikuwa wanasifia hizo ndinga kwnye nyimbo zao.

Rick Ross - Husttling.


Who the sucker you think you trippin' with? I'm the fvckin' boss
745, white-on-white, that's fvckin' Ross. -Hustlin Rick Ross.


Remy Ma - Lean back.


R to the Ezzy, M to the Yzzy
My arms stay breezy, the Don stay flizzy
Got a date at 8, I'm in the 7-4-fizzive (hapa akimaanisha BMW 745)

Black Rob - Whoa Remix


So I threw the label on my back like WHOA!
And more less, more so, I'll rip your torso
I live the fast life, come through in a X-5 like WHOA!
My niggas like dough, light dro', nitro, my flow, nice clothes like WHOA!

Master P - Choppa Styles.


Love don't cost a thing? Now who said that
Big pimpin' and ballin' who made it?
I'm in that new hummer with spinnin' wheels
And aww man, check out the grill!

504 Boyz - Tight Whips.(504 Boys Members maarufu ni Master P , Silk The Shocker,Mystical,Choppa )


We roll tight whips, everyday
Bentley, Lex, Mercedes, and Escalades
We roll tight whips, everyday
Hustlin to make a big buck, but that's ok.
 
Hivi ni kweli buggatti bongo hakuna? Maana kuziona tu ni maeneo flan tu Masaki huko n ni issue as if its a annual general meeting [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Ingia instagram uone halaf uache ubishi
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]




Ever heard of Computer-generated imagery (CGI)?

Kuna siku utasema zile movie za SciFi kama avatar, black panther nk ni kweli sababu ni video.
 
Sawa, lakini ukiipata lazima uitimie kwa akili kwani inatabia ya kupotea pia!!! Na ikipotea baada ya kuitumia vibaya huwa hairudi kabisa.
Hapo bado hujatafuta hela bado.

Ongeza speed.
 
Magari haya yapo lakini wenye nayo wengi wao sio maarufu hawa ni wachache ninaowafahamu
Marehemu Jeetu Patel , Ghalib Said Mohammed, Yusuph SaidBakhressa -Bentley Mulsanne

1612427577893.png

Yusuph Said Bakhressa na Yusuph Manji- rolls royce ghost
1612427801353.png

Davies Mosha - Lamborghini Murcielago

1612427912131.png

Anonymous(mfanyabiashara mmoja mwenye asili ya kihindi )- Bentley Bentyga
1612427994194.png
 
hapana ilikuwa video ina plate number ya tanzania kabisa na haikuwa apo viva tower ilikuwa imepaki pale benjamin mkapa tower kwa nyuma mkuu, lenyewe kabisa nikajisemea duuuh...kama mtu ana ile video anaweza akakuonyesha
Kama umeona video,jua it's not really ...Ni graphics watu wanacheza nazo.....

Wapo vijana wataalamu wamesoma hawana kazi,so huwa wanatengeneza hzo video Kama hobby au refreshing mind
 
Back
Top Bottom