+1Nakubaliana na mleta uzi, Mimi nina cc 2360 huwa napata hadi km 17 kwenye speed ya 80. Kwanza nina accelerate taratibu kisha nina maintain
Well noted+1
Hiyo ndio siri watu wengi hawajui, inatakiwa u assume kuna yai bichi Kati ya mguu na acc pedal, then ukanyage yai liisukume pedal bila yai kuvunjika, pressure utakayotumia kukanyanga yai hapo ndio pressure sahihi kuendeshea kama unataka fuel economy.
Ukisha kuwa heavy footed, hata kama utamaintain green band Rev, bado hutaweza kupata fuel figures nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
isitoshe watoto hawajakua[emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha ha mkubwa, kuinjoi ni mpaka 140-160kph? Mimi nikiamua hivyo najua kabisa leo namaliza wese sijali natembea balaa. Hii ya rev 1500 huwa naifanya usiku nikiwa natoka kwenye mihangaiko sina haraka naenda home. Hata asubuhi huwa sivuki 60kph hapa mjini
Nadhani ulikusudia kuandika lita 1 kwa kilomita 3Mi langu lita 3 kilometa 1 tuu tena kuna sehemu naweka freeView attachment 1343359
Mimi mwenyewe nimenunua Nissan Navara Manual from UKUK manual transmission ni nyingi sana, nawajua watu kadhaa wana magari manual wameingiza from UK
Ya kwangu ni 4.1 lt/100 kmGari ukiendesha vizuri inatumia mafuta vizuri hadi unashangaa. Kuna kipindi huwa unaweza kupata hata km20/lita kwa gari ya CC2000. Ila haichukui muda inarudi kwenye 10-12km/l.
Kuna sehemu huwa naipatia naitega inanipa 20+km/l
View attachment 1340798
Mbona mnawadisi vijana wa leo, magari yetu ya zamani ya gear yashapitwa na wakati ukiwa unaendesha Gari ya gear ukakutana na foleni ya kuanzia buguruni mpaka mnazi mmoja unakuwa una tofauti na mtu aliyetembea kwa miguu.black sniper,
Vijana wengi wa mjini hawajui kuendesha manual transmission.
Hilo suala la kuruka gear kutoka namba 3 Hadi tano ni usiku wa Giza kwao
Hahahaha!!!!!Mbona mnawadisi vijana wa leo, magari yetu ya zamani ya gear yashapitwa na wakati ukiwa unaendesha Gari ya gear ukakutana na foleni ya kuanzia buguruni mpaka mnazi mmoja unakuwa una tofauti na mtu aliyetembea kwa miguu. Kanyaga clutch weka gear, Kanyaga clutch weka brakes. Izo shida zote tuwaachie watu wa daladala hahaha hah ingawa tumetoka mbali sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii sio gari ni pikipikiYa kwangu ni 4.1 lt/100 km
Duh huna tofauti na alietembea kwa miguu! Pia clutch zinakufa haraka sana.Mbona mnawadisi vijana wa leo, magari yetu ya zamani ya gear yashapitwa na wakati ukiwa unaendesha Gari ya gear ukakutana na foleni ya kuanzia buguruni mpaka mnazi mmoja unakuwa una tofauti na mtu aliyetembea kwa miguu. Kanyaga clutch weka gear, Kanyaga clutch weka brakes. Izo shida zote tuwaachie watu wa daladala hahaha hah ingawa tumetoka mbali sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo gari gani?Nimeweka ya elf 50. Nimetembea 590km
Mkuu siku ukilichoka niuzie nisuuze mikono na mjerumani.
Jamaa unadharau haaaMbona mnawadisi vijana wa leo, magari yetu ya zamani ya gear yashapitwa na wakati ukiwa unaendesha Gari ya gear ukakutana na foleni ya kuanzia buguruni mpaka mnazi mmoja unakuwa una tofauti na mtu aliyetembea kwa miguu. Kanyaga clutch weka gear, Kanyaga clutch weka brakes. Izo shida zote tuwaachie watu wa daladala hahaha hah ingawa tumetoka mbali sana
Sent using Jamii Forums mobile app