Je, gari yako inatembea Kilomita ngapi kwa lita moja ya mafuta?

Je, gari yako inatembea Kilomita ngapi kwa lita moja ya mafuta?

RRONDO na Mshana Jr.

Napenda nipate ushauri wenu juu ya gari moja hivi iliyokuwa assembled Afrika Kusini mpaka mwisho wa mwaka 2009 inaitwa Volkswagen CITI Chico 1.4i. Huwa navutiwa sana na ule muonekano wake old school ride and simple.

Mwaka jana nina jamaa yangu Mjerumani anayeishi Arusha alitaka kuniuzia ila nafsi ilisita kuhofia changamoto ya ufundi na vipuri, japokua jamaa alinishawishi sana kuwa kapo cheap kuka-maintain. Just 14 km/lt
 
Nkurekebishe kidogo sio kwamba engine inazunguka sana naeza nikawa na 20 to 30kph na mshale ukawa bado uko kwenye kati kati ya moja na mbili rpm....sasa hapo sio kwmba engine inazunguka sana ni kwamba kiasi hicho hicho cha rpm kama ungekuwa na gia kubwa basi ungekuwa somewhere 70kph or 80 kabisa depending na ratio za gari husika

Si ndio maana nikasema, gia kubwa mfano moja au mbili kwenye gear box upande wa engine utazunguka zaidi kuliko ule wa shaft unaoenda kuzungusha matairi.

Ukiweka gear 4 au 5 gari itaenda sana lakini haina nguvu na hapo upande wa engine mzunguko hautakua mkubwa kama wa upande wa kwenye matairi. Hiyo tofauti ni kutokana na tofauti za ukubwa wa zile gear kwenye gear box.

Kwakuwa tunaongelea ulaji wa mafuta, ukitembelea gear namba 1 na ukiendesha kwa namba 5 sehem tambarare umbali ule ule, ni ipi itakula mafuta mengi?

Nashukuru kwa kunisahihisha pia.
 
...usiwe unakurupuka soma uelewe nimeandika kwa gia ya mwisho....gear zile ni fixed kama no 3 at 3000rpm speed ikawa mfano 70kph basi hadi unaingia kaburini kwa gari hilo haibadiliki ....ndo hivo hivo ....
nisome vizuri uelewe.
halafu, unachokataa nini na ulichomaanisha hapa chini sicho nilichoeleza?
60kph at 1500rpm means at 3000rpm speed itakuwa 120 hapo naona ipo na gia ya mwsho hata premio at 3000rpm gia ya mwsho unakuwa na 120kph kina brevis naona ni 125 kama sio 130...
 
hizi hesabu haziendi hivyo mkuu. gear ratio siyo linear, na zinatofautiana kwa jinsi transmission ilivyoundwa. kuna gari zikiwa kwenye overdrive gear, 110kph inatembelea rpm 1500.
Jamaa anapenda ligi sana.
 
Lita ngapi hizo?!

Wee baba taibali mie hesabu za magazijuto zilinishinda, sijawahi kufatilia hesabu ya lita kwa km, Ila huwa nafatilia nimeweka mafuta ya shilingi ngapi na yanaisha kwa muda gani basi. Hata umbali nimetumia km ngapi sifatiliagi sana...

Mabungo yangu yapo?
 
Mabungo yangu hapo?
Una hela sana, akina Sisi lazima tupige hesabu na ndio maana tunaendesha kwa adabu.
 
60kph at 1500rpm means at 3000rpm speed itakuwa 120 hapo naona ipo na gia ya mwsho hata premio at 3000rpm gia ya mwsho unakuwa na 120kph kina brevis naona ni 125 kama sio 130...

Je inaonesha hivo kwa muda gani au sekunde kadhaa tu.....??
Huoni hapo imestuck kwasababu ya cruise control?! Hivi engine za gari ndio ziko hivyo kwasababu 1500rpm inanipa 60mph, 3000rpm itanipa 120kph?!! Ngoja nitembee usiku nitaangalia 120kph huwa naipata kwenye revs ngapi, ila 3000revs sounds too high
 
Una hela sana, akina Sisi lazima tupige hesabu na ndio maana tunaendesha kwa adabu.

Wee double R hizi kazi za mikataba hazina adabu, siku mkataba unaambiwa basi kama hukuwa na akili ya kutenga fungu la kuendeleza maisha iwapo maji yatakata basi presha lazima ikuandame.
Mafuta nnayo tumia napewa na ofisi hivyo huwa nakuwa makini yasiishe kabla mwezi haujaisha na saa ingine mwezi unafika bado yanakuwa hayajaisha...
 
hizi hesabu haziendi hivyo mkuu. gear ratio siyo linear, na zinatofautiana kwa jinsi transmission ilivyoundwa. kuna gari zikiwa kwenye overdrive gear, 110kph inatembelea rpm 1500.
Jibu zuri.
 
Wee double R hizi kazi za mikataba hazina adabu, siku mkataba unaambiwa basi kama hukuwa na akili ya kutenga fungu la kuendeleza maisha iwapo maji yatakata basi presha lazima ikuandame.
Mafuta nnayo tumia napewa na ofisi hivyo huwa nakuwa makini yasiishe kabla mwezi haujaisha na saa ingine mwezi unafika bado yanakuwa hayajaisha...
Kwa cc1500 hata usipokuwa makini humalizi labda uwe mzurulaji.
 
Kwa cc1500 hata usipokuwa makini humalizi labda uwe mzurulaji.

Uko sawa kabisa, pamoja na mizunguko yangu ya mall nyumbani nyumbani mall nyumbani kazini kazini nyumbani na weekend nyumbani to gold reef na kurudi mwezi unafika bila stress ya kuzima zima gari kusave wese au kuzima kiyoyozi.

I appreciate for what I earn.
 
Mkuu saizi watu wengi wamejifunza gari automatic na wanapendelea hizo.
Na gari nyingi ni auto, Manual zipo kwa ajili ya wababe wachache.
Manual cars ni magari special yanatengenezwa kwa ajili ya serikali au miradi.

Manual cars za watu binafsi unazoziona mitaani ni zile za zamani sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
black sniper, Hapo kwenye kupangua gear mkuu nimekusoma kuna gari niliwahi kuendesha Duh! Lile lilikua ni jini asee kila nilichokua nafanya effort zinadunda mpaka nikaamua kupunguza gear labda niwe za chini 1 2 3 au tatu ila za juu kuanzia sita saba mi napiga kofi natia neutral tu kama nikianza tena naangalia rpm tu na speedometer inataka namba ngapi ndo natupia.

Hapo kidogo inasave nafika mwanzo nilikua hadi niwe na reserve kama litre 10 hivi ndo natoboa
 
Back
Top Bottom