Ko mkuu naaanzaje .na such kind of love ni beat unaona zipo sawa kwa kila kitu ?..basi sawaMasikio yako yana makendeza ndugu.
Ko mkuu naaanzaje .na such kind of love ni beat unaona zipo sawa kwa kila kitu ?..basi sawa
Toeni utando masikioni.
Anhaa.. safi sana. Sasa hizo fremu hizo ndo hoja yangu.. wala hatugombani mkuu. Tueleweshane tuAcha mkazo. Percussion ni kama fremu kwaiyo kinacho kuja kutofautisha ni izo instruments nyingne zilizopigwa. Yaani natamani kufunza mengi kuhusu mziki unaonekana mweupe sana sana
Anhaa.. safi sana. Sasa hizo fremu hizo ndo hoja yangu.. wala hatugombani mkuu. Tueleweshane tu