Je, hadi beat inatumiwa na wasanii wengi hivi huwa ni universal beat, free na huwa imetungwa na nani?

Je, hadi beat inatumiwa na wasanii wengi hivi huwa ni universal beat, free na huwa imetungwa na nani?

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060
Hii beat inazidi kuwa maarufu na wasanii wakubwakubwa East Africa wanaendelea itumia, nilianza kuisikia kwa Atilo ft Jovial such kind of love, akaitumia Diamond naanzaje, ameitumia Rayvanny I miss you.

Na wengine wanaendelea itumia.

Beat hizi hutokea wapi!? Nani ana copyrights!? Je, huwa ni bure kuzitumia?

Huo ni mziki wa aina moja lakini beat ziko tofauti kidogo na mziki Huu ni wakilatin kama ilivyo mapiano au usingeli
 
Acha mkazo. Percussion ni kama fremu kwaiyo kinacho kuja kutofautisha ni izo instruments nyingne zilizopigwa. Yaani natamani kufunza mengi kuhusu mziki unaonekana mweupe sana sana
Anhaa.. safi sana. Sasa hizo fremu hizo ndo hoja yangu.. wala hatugombani mkuu. Tueleweshane tu
 
Huo ni mziki wa aina moja lakini beat ziko tofauti kidogo na mziki Huu ni wakilatin kama ilivyo mapiano au usingeli
Mkito hauko taofauti mkuu... Rhythm ni ileile..
 
Anhaa okay. Fremu ni kawaida sana kufanana kwenye production ubaya wa izo percussion za nyimbo ulizotaja zinasikika sana ni rahisi mno kusikia
Anhaa.. safi sana. Sasa hizo fremu hizo ndo hoja yangu.. wala hatugombani mkuu. Tueleweshane tu
 
On the bigger picture... beat ambazo ni free to use zipo nyingi tu.
 
Hizo huwaga tuna download, zipo nyingi mtandaoni
Pia kuna aina nyingine ya muziki ina trend kama wimbo wa
1. Saraphina - Sio kitoto
2. Lava lava - komesha
3.Mario - unanikosha
4. Harmonize - Fall in love
 
Hizo huwaga tuna download, zipo nyingi mtandaoni
Pia kuna aina nyingine ya muziki ina trend kama wimbo wa
1. Saraphina - Sio kitoto
2. Lava lava - komesha
3.Mario - unanikosha
4. Harmonize - Fall in love
Ujanjaujanja tuuhh...
 
Nnachojua mimi P Funk aliondoka na kiwanda chake.
Saivi kuna makanjanja tuhh.
 
Back
Top Bottom