Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Wenyewe mpango wao ni kufuga matomboliloIli watanzania baada ya miaka miwili wafaidi kitoweo hiki adhimu sana na kinono?...
Bila kufanya biashara ya kuwalisha na kupata gharama za ziada,
yaani waishi katika misingi ya asili,
je linawezekana?
#Wajuzi mtujuze!
Ili watanzania baada ya miaka miwili wafaidi kitoweo hiki adhimu sana na kinono?...
Bila kufanya biashara ya kuwalisha na kupata gharama za ziada,
yaani waishi katika misingi ya asili,
je linawezekana?
#Wajuzi mtujuze!
-SATO
-SANGARA
Wenyewe mpango wao ni kufuga matombolilo
Matombolilo ni nini?Wenyewe mpango wao ni kufuga matombolilo
Aina gani hii ya samaki?,mkuu,ninavyofikiri rufiji inaweza lisha samaki wa bei nafuu kwa jiji lote la dar,Wenyewe mpango wao ni kufuga matombolilo
Matombolilo ni nini?
jina lake linachekesha
Mbona mtera kuna samaki na hatujawahi skia kesi hizoKuna samaki wa mto Rufiji ambao asilimia kubwa ni kambale...
Hata hivyo sijui kama turbines walizofunga hapo zinaweza kuzuia samaki kuwa sacked wakati zinavuta maji kuyaingiza ndani kwenye vinu...
Aaah mzee hili neno linatumika Mbeya nimekumbuka tuliwakamata sana mtoni kuanzia Mbeya Day mpaka Meta Sec.Wenyewe mpango wao ni kufuga matombolilo
Mbona mtera kuna samaki na hatujawahi skia kesi hizo
Mkuu hilo bwawa lipo wilaya ipi huko pwaniTurbines za Rufiji ni kubwa sana na zina nguvu kuliko bwawa lolote, Mtera, Nyumba ya Mungu, Hale, Kidatu na Kihansi...
Hata hivyo maelezo yangu hayajaainisha kwamba haiwezekani, INAWEZEKANA kabisa kuweka samaki hao Sato maana hata sasa lile bwawa lina samaki wale wa asili kama kambale, perege na hata mamba wa Rufiji naamini watakuwepo...
Kuna aina nyingine wanaiita vitoga.Kuna samaki wa mto Rufiji ambao asilimia kubwa ni kambale na perege...
Hata hivyo sijui kama turbines walizofunga hapo zinaweza kuzuia samaki kuwa sacked wakati zinavuta maji kuyaingiza ndani kwenye vinu...
Ulikuwa unaishi either Forest au JacarandaAaah mzee hili neno linatumika Mbeya nimekumbuka tuliwakamata sana mtoni kuanzia Mbeya Day mpaka Meta Sec.
Hahahahaha ndubwi nimekumbuka hii, enzi za utoto walikua wanaenda kuwavua na kambale, Makumbusho, Kijitonyama hiyooWale watoto wa chura kabla ya kuwa chura kamili (mandubwi)...
Mkuu hilo bwawa lipo wilaya ipi huko pwani