Je haiwezekani katika bwawa la rufiji wakapandikizwa sato?

Je haiwezekani katika bwawa la rufiji wakapandikizwa sato?

Turbines za Rufiji ni kubwa sana na zina nguvu kuliko bwawa lolote, Mtera, Nyumba ya Mungu, Hale, Kidatu na Kihansi...

Hata hivyo maelezo yangu hayajaainisha kwamba haiwezekani, INAWEZEKANA kabisa kuweka samaki hao Sato maana hata sasa lile bwawa lina samaki wale wa asili kama kambale, perege na hata mamba wa Rufiji naamini watakuwepo...
Mamba ni uhakika
 
Hii ilikuwa kwenye battle na mbaya wako bila kushikana, hapo ni mwendo wa kutupiana maneno ya kashfa tu almaarufu enzi hizo "Malani" ukizidiwa ndiyo utaanza kurusha ngumi😁😁

Tanga tulikuwa tunaita "mabezo", imetokana na neno kubezwa...

Kuna watoto wa uswazi walikuwa na mabezo mabaya, sasa fikiria unabezwa kwa ile lafudhi ya kitanga...
 
Pia kuna ule ufugaji samaki wa vitalu, yaani ndani ya bwawa kubwa au ziwa unaweka kitalu kiasi kwamba samaki hawatoki nje ya eneo na pia hauathiri movement ya maji...
Kumbe kuna njia nyingi za kuishi na ngadu wetu bila kuingilia uzalishaji wa umeme?? 😎😎
 
Kwa umeme unaozalishwa hapo siyo rahisi hao samaki kusurvive.
Mbona Mtera wana samaki, na pale pia si kuna umeme unazalishwa? Mimi siyo mtaalamu wa hizo mambo lakini mawazo yangu ni kuwa maji kabla hayajashuka kwenye hiyo mitambo inawekwa vichujio ambavyo vitazuia samaki wabaki bwawani na maji yaliyochujwa yanashuka kwenye mtambo. hakuna kinachoshindikana, labda wazoefu watuambie shida ni nini. Au pia wanaweza kufugwa kwenye vizimba
 
Back
Top Bottom