wolverineGG
JF-Expert Member
- Feb 13, 2025
- 1,968
- 3,680
Hapo sawa, hata hivo ninauhakika kwa teknolojia ilokuepo ishu ya samaki kusumbua turbine haiwezekaniTurbines za Rufiji ni kubwa sana na zina nguvu kuliko bwawa lolote, Mtera, Nyumba ya Mungu, Hale, Kidatu na Kihansi...
Hata hivyo maelezo yangu hayajaainisha kwamba haiwezekani, INAWEZEKANA kabisa kuweka samaki hao Sato maana hata sasa lile bwawa lina samaki wale wa asili kama kambale, perege na hata mamba wa Rufiji naamini watakuwepo...