rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,905
- 9,740
ViluwiluwiWale watoto wa chura kabla ya kuwa chura kamili (mandubwi)...
ViluwiluwiWale watoto wa chura kabla ya kuwa chura kamili (mandubwi)...
Inawezekana wasisahau kuweka na Migebuka...Ili watanzania baada ya miaka miwili wafaidi kitoweo hiki adhimu sana na kinono?...
Bila kufanya biashara ya kuwalisha na kupata gharama za ziada,
yaani waishi katika misingi ya asili,
je linawezekana?
#Wajuzi mtujuze!
-SATO
-SANGARA
Dah hakuna mwanaume anayepata utamu wa kula na kula chakula chako.Kitoga mtaaaaamu, akaushwe aungwe na nazi na wali wa nazi na maharage ya nazi, hapo mchicha au kabeji navisogeza pembeni visiniharibie ladha😆, enzi za utoto hizooo
Forest ya zamani, ule mtaa wa jacaranda naupenda Ile miti inafanya pananukia vzuriUlikuwa unaishi either Forest au Jacaranda
Huyu samaki niliwahi kumla kipindi flani nilikuwa Kilosa,wanapatikana mto mkondoa watamu sana...Kitoga mtaaaaamu, akaushwe aungwe na nazi na wali wa nazi na maharage ya nazi, hapo mchicha au kabeji navisogeza pembeni visiniharibie ladha😆, enzi za utoto hizooo
Oya mimi ni mtaalamu wa kupika tena nimefunzwa na bibi, chakula changu wanakula watu wote wanajing'ata vidole, sipiki chakula kwa ajili ya mwanaume, yurk!Dah hakuna mwanaume anayepata utamu wa kula na kula chakula chako.
Mariposa anafurahisha kama sio dada yako 🙁
Sisi kama familia umetunyima fursa ya kutuletea wakumla mpishi na pishi lake. Tuone kapicha sasa, seeing is believingOya mimi ni mtaalamu wa kupika tena nimefunzwa na bibi, chakula changu wanakula watu wote wanajing'ata vidole, sipiki chakula kwa ajili ya mwanaume, yurk!
Viluwiluwi
Nishawahi ona kwe channel ya Discovery science wakiongelea working mechanism za turbine.
So tunaunga mkono hoja, wapeleke sato pale, wapeleke na ngadu pia🤣🤣
ngadu, gegereka 😀So tunaunga mkono hoja, wapeleke sato pale, wapeleke na ngadu pia🤣🤣
Wale si wanaitwa ndubwi?😂Wale watoto wa chura kabla ya kuwa chura kamili (mandubwi)...
Jacaranda unapata view ya mji nzuriForest ya zamani, ule mtaa wa jacaranda naupenda Ile miti inafanya pananukia vzuri
Na Ndio maana wanapata vidonda vya tumboCha kushangaza dar wengi ugali wao ni ugali kwa mlenda au bamia na nyanya chungu mixer tembele
Kubwa zaidi na dagaa wa mwanza wanalika hapa jijini so poa
Wale si wanaitwa ndubwi?😂
Hatare sana mzeeNa Ndio maana wanapata vidonda vya tumbo
Hii ilikuwa kwenye battle na mbaya wako bila kushikana, hapo ni mwendo wa kutupiana maneno ya kashfa tu almaarufu enzi hizo "Malani" ukizidiwa ndiyo utaanza kurusha ngumi😁😁😃
Usisahau pia ukitaniwa "kichwa kama ndubwi"...