Je haiwezekani katika bwawa la rufiji wakapandikizwa sato?

Hapo sawa, hata hivo ninauhakika kwa teknolojia ilokuepo ishu ya samaki kusumbua turbine haiwezekani
 
Wanasiasa siyo vilaza. Wana lengo lao la kuhakikisha umaskini hauishi ili kila uchaguzi waseme kuwa ukinichagua nitaleta maji na pia kugawa vizawadi vidogo
 
Nakubali kiongozi, mtaalamu hasikilizwi anasikizwa mwanasiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…