Mamba ni uhakikaTurbines za Rufiji ni kubwa sana na zina nguvu kuliko bwawa lolote, Mtera, Nyumba ya Mungu, Hale, Kidatu na Kihansi...
Hata hivyo maelezo yangu hayajaainisha kwamba haiwezekani, INAWEZEKANA kabisa kuweka samaki hao Sato maana hata sasa lile bwawa lina samaki wale wa asili kama kambale, perege na hata mamba wa Rufiji naamini watakuwepo...
Hakuna samaki baharini anafikia utamu wa satoHakuna haja ya kufuga Sato. Bahari yetu samaki wapo kibao tunavua asilimia ndogo kwa vyombo duni
Huyo perege ana kitu gani special?Hakuna samaki baharini anafikia utamu wa sato
IfakaraKitoga mtaaaaamu, akaushwe aungwe na nazi na wali wa nazi na maharage ya nazi, hapo mchicha au kabeji navisogeza pembeni visiniharibie ladha😆, enzi za utoto hizooo
Hapo kwenye "malani" umenikumbusha mbali sana😂😂Hii ilikuwa kwenye battle na mbaya wako bila kushikana, hapo ni mwendo wa kutupiana maneno ya kashfa tu almaarufu enzi hizo "Malani" ukizidiwa ndiyo utaanza kurusha ngumi😁😁
Hakuna samaki baharini anafikia utamu wa sato
Hii ilikuwa kwenye battle na mbaya wako bila kushikana, hapo ni mwendo wa kutupiana maneno ya kashfa tu almaarufu enzi hizo "Malani" ukizidiwa ndiyo utaanza kurusha ngumi😁😁
Changu ni samaki wa kawaida. Ana samaki wengi tu baharini wanamzidi utamu.mzee kuna kitu samaki kolekole na hata changu...
Kuna mamba kule balaaMamba ni uhakika
Katika samaki wote niliokula(baharini+ziwani) sijaona samaki wa kumfikia KUHE, huyu ni kutoka ziwa tanganyika.Hakuna samaki baharini anafikia utamu wa sato
Watu wanapelekewa starehe katavidole🤣ngadu, gegereka 😀
Hakuna samaki wa kumfikia utamu ngadu.Katika samaki wote niliokula(baharini+ziwani) sijaona samaki wa kumfikia KUHE, huyu ni kutoka ziwa tanganyika.
Kumbe kuna njia nyingi za kuishi na ngadu wetu bila kuingilia uzalishaji wa umeme?? 😎😎Pia kuna ule ufugaji samaki wa vitalu, yaani ndani ya bwawa kubwa au ziwa unaweka kitalu kiasi kwamba samaki hawatoki nje ya eneo na pia hauathiri movement ya maji...
Mbona Mtera wana samaki, na pale pia si kuna umeme unazalishwa? Mimi siyo mtaalamu wa hizo mambo lakini mawazo yangu ni kuwa maji kabla hayajashuka kwenye hiyo mitambo inawekwa vichujio ambavyo vitazuia samaki wabaki bwawani na maji yaliyochujwa yanashuka kwenye mtambo. hakuna kinachoshindikana, labda wazoefu watuambie shida ni nini. Au pia wanaweza kufugwa kwenye vizimbaKwa umeme unaozalishwa hapo siyo rahisi hao samaki kusurvive.