Uchaguzi 2020 Je, Halima Mdee amefanya nini Kawe kwa miaka 10 ya ubunge wake kustahili kuendelea? Sikia ya Askofu Gwajima, 28 Oktoba fanya uamuzi sahihi

Makubwa kuliko yote ni uthubutu was kutetea,Uhuru,haki na maendeleo yanayoitwa kutokuwa na chama na wakati mmoja kupewa masharti ya maendeleo.
 
Wewe unaamini maendeleo yataletwa na mtu anayeahidi kufanya mambo kwa pesa yake ya mfukoni? Maendeleo ya kweli hayawezi letwa na mtu wa namna hiyo, angekuwa na uchungu kweli angejenga kanisa waumini wake wasalie kwenye kivuli.
Ina maana ana uchungu na wananchi wa Kawe mpaka eti atoe ambulance kila kata kwa pesa yake mara ajenge barabara kwa pesa yake, lakini kashindwa jenga kanisa kwa waumini wake.
Nina walakini na huyu Ngwaju Boy maana pia anabadilika badilika kama kinyonga kama Mzee wa Upako
 
Limekuwa lofa kama gwajiporn. Jitu hovyo kabisa. Anakuwa driven na tribalism!
 
Zaidi ya kutukana Bungeni, kufungiwa Bungeni kutokana na utovu wa nidhamu, kususia kikao cha Bajeti hayo ndiyo nimeyaona amefanikiwa kwa kiwango kikubwa kuibana Serikali.
Nb: Ukweli hakuna alichokifanya
Wewe na Kibabaj hamna tofauti mnacho kielewa ni kutembea na ink pad kwa ajili ya kupokelea posho
 
Mkuu huyo ni kiongozi wa WANAFIKI HAPA TANZANIA.
 
Kufuatana na utafiti wa TWAWEZA ulisema kuwa wafuasi na wapenzi wengi wa ccm ni kati ya std 1 na std vii. Na ni masikini sana hivyo nawe ni mmoja wapo.
 
Ulitaka Halima atoe pesa zake mfukoni?
Unauliza Halima kaifanyia nini Kawe yule
SUPIKA WENU ( kule kongwa k

akanushe
Kongwa ni sehemu pekee ya watoto wa primary kwenda kujifunza maana ya umasikini.
 
Kwa jibu hili huu uzi ulipaswa ufungwe,paskali kama ana kichwa kizuri haitaji maelezo ya ziada.
 
Hivi heshima za JF zinamanufaaa gani?
 
Sawa vipo kariakoo, swalI ni kwamba Halima ameshawahi hata ku chukua pesa ya jimbo kuwanunulia hivyo viji pump?

Kwa taarifa yako HM hapati kitu kawe.

Hayo maji ya Dawasco kumbuka ni mabomba ya gwaji boy
 
Acha ujinga wewe, si umeambiwa vilikuwa vya mita 300. Hiyo 60 umetoa wapi?
 
Ccm ambayo ndio in Serikali imefanya nini kwa miaka yote zaidi ya hamsini, kila mwaka wa kampeni wanajisifu wamejenga barabara, hivi kama barabara tu zinajengwa miaka 50 na haziishi je hyoTanzania ya viwanda itawezekana vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…