Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Limekuwa lofa kama gwajiporn. Jitu hovyo kabisa. Anakuwa driven na tribalism!Pascal Mayalla ni amekuwa mjinga sana this time,badala ya kutuletea blah blah za kijinga zisizo na utaalam wowote ule aitishe hata mchango aombe tumnusuru kutokana na kukosa kabisa kazi ya kumuingizia kipato. Mwambieni tupo tayari kumchangia ili abaki na uhuru wake wa akili ambao anaelekea kuupoteza.
Mada ya kipuuzi sana hii aliyoleta!
Amevunjwa mkono na mengine mengi bado tu?asemeUnataka afanye nn?
Wewe na Kibabaj hamna tofauti mnacho kielewa ni kutembea na ink pad kwa ajili ya kupokelea poshoZaidi ya kutukana Bungeni, kufungiwa Bungeni kutokana na utovu wa nidhamu, kususia kikao cha Bajeti hayo ndiyo nimeyaona amefanikiwa kwa kiwango kikubwa kuibana Serikali.
Nb: Ukweli hakuna alichokifanya
Mkuu huyo ni kiongozi wa WANAFIKI HAPA TANZANIA.Ataku prove wrong very soon ila Mkuu Pascal Mayalla umeonyesha kiwango cha juu cha unafiki. Unataka Halima Mdee atoe fedha zake mfukoni kufanya shughuli za maendeleo?
Au tayari umeona Msukuma mwenzio amepitishwa kugombea Kawe kupitia CCM ndipo unasahau hata imani yako ya Ukatoliki na kuanza kumpigia kampeni huyu PornStar Gwajima?
Kweli umesahau kauli za Magufuli kuwa a hapeleki maendeleo kwenye Jimbo lililo chini ya upinzani kama Kilwa kwa Bwege
Kongwa ni sehemu pekee ya watoto wa primary kwenda kujifunza maana ya umasikini.Ulitaka Halima atoe pesa zake mfukoni?
Unauliza Halima kaifanyia nini Kawe yule
SUPIKA WENU ( kule kongwa k
akanushe
Afanye nini? Yeye mwenyewe anaganga njaa!Wewe Mwanakawe-Mkuu Paskal Mayalla...umeifanyia nini Kawe?
Ndugaye alichofanya jimboni kwake ni kumtwanga fimbo mshindani wake kwenye kura za maoniBibie halima hajafanya kitu chochote jimboni kawe, gwaji njia nyeupeeeee.
Nadhani swali ni serikali imefanya nini kwenye jimbo la Kawe maana jukumu la kuleta maendeleo ni la serikali na sio la mbunge. Kama katika miaka 10 ya ubunge wa Halima hapajakuwa na maendeleo Kawe inayopaswa kuhojiwa ni serikali na sio mbunge.
Swali kwa Halima ni je katika muda wake huo amewapigania watu wa Kawe na Tanzania ili wapate maisha bora zaidi? Kwa vile chama chake hakikuwa madarakani, wananchi wanapaswa kuwauliza waliokuwa madarakani kwa nini hawakutilia maanani kilio cha mbunge wao?
Kumchagua mtu kwa vile ana pesa za kuchonga barabara ni kujidhalilisha maana mtakuwa mmenunuliwa. Chagueni mtu atakayewapigania ili mtendewe haki kutokana na kodi mnayolipa. Maendeleo sio fadhila, ni haki yenu.
Amandla...
Hivi heshima za JF zinamanufaaa gani?Naona mlioshindwa kura za maoni mnatekeleza agizo la Mwenyekiti wenu kuwapigia debe waliopita!Hapa unajiwekea kafursa ili ukumbukwe kwenye teuzi kwa kutii maagizo ya mwenyekiti!Huwezi kutenganisha ukada wako na mawazo yako,kwa wanaJF utakuwa mnywa maji ya kijani tu!
Kujijengea heshima fulani na kuaminika inachukua muda mrefu,ila kuvivunja vitu hivyo ni ndani ya sekunde moja tu!
Ulishapoteza hilo na huenda mpaka unaingia kaburini,level ya heshima uliyokuwa nayo JF isirudi tena!
Ni bora ukubaliane na hali na uwe kijani kweli kweli,,kuwa kama polepole tu!
Sawa vipo kariakoo, swalI ni kwamba Halima ameshawahi hata ku chukua pesa ya jimbo kuwanunulia hivyo viji pump?Naona umeamua kufanya kampeni kwa Gwajima. Sasa kwa taarifa yako ni kuwa Kunduchi ina maji ya Dawasco na bahati mbaya sana mimi ni mtaalam kwa hiyo maji ya kisima cha chini Kunduchi ni maji ya chumvi sana hivyo naamini hayapo kwa matumizi sasa.
Halafu kutoa pump za maji ya Kisima cha chini Ujerumani nayo ni ishu? Vile vi pamp vipo hata Kariakoo vimejaa tele!
Mkuu emb kuwa na adabu na kichwa chako na ujue kuwa unaleta mada zako kwa wataalam!
Acha ujinga wewe, si umeambiwa vilikuwa vya mita 300. Hiyo 60 umetoa wapi?Pascal Mayalla naomba nikufadhili na kama unaishi mitaa ya Kunduchi basi nataka nikuchimbie kisima cha mita 60 kwenda chini pamoja na kukununulia submersible pump na nakuwekea na tank kabisa ili ujue kuwa hiyo ni ishu ndogo sana! Ila kwa Kunduchi maji utayatumia kumwagilia bustani maana hata ng'ombe akiyanywa atatema! Kuza akili yako aisee.