Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bibie halima hajafanya kitu chochote jimboni kawe, gwaji njia nyeupeeeee.
Balaa tupuGwajima kaifanyia jambo kubwa Kawe la kuwala maboga kondoo wake😜😜😜😜😜😜
Ukweli upo wazi gwaji hana mpinzani , bi kidude hajafanya chochote cha maana jimboni kawe.Gwajima kaifanyia jambo kubwa Kawe la kuwala maboga kondoo wake😜😜😜😜😜😜
😂😂 bi kidude je ?Gwajima kaifanyia jambo kubwa Kawe la kuwala maboga kondoo wake😜😜😜😜😜😜
Challenge hoja zake sio personality, sasa hapo umejibu hoja gani ya PaschalNaona mlioshindwa kura za maoni mnatekeleza agizo la Mwenyekiti wenu kuwapigia debe waliopita!Hapa unajiwekea kafursa ili ukumbukwe kwenye teuzi kwa kutii maagizo ya mwenyekiti!Huwezi kutenganisha ukada wako na mawazo yako,kwa wanaJF utakuwa mnywa maji ya kijani tu!
Kujijengea heshima fulani na kuaminika inachukua muda mrefu,ila kuvivunja vitu hivyo ni ndani ya sekunde moja tu!
Ulishapoteza hilo na huenda mpaka unaingia kaburini,level ya heshima uliyokuwa nayo JF isirudi tena!
Ni bora ukubaliane na hali na uwe kijani kweli kweli,,kuwa kama polepole tu!
Siyo wote mkuu...Kina Ngosha hamuwezi kujizuia ukabila, itawagharimu....hiki mnachokitafuta mtakapokipata mtakikimbia wenyewe.
Misiredi yakufuatana kila baada ya dakika kadhaaa....hana.jipya huyuKwa jinsi siku zinavyokwenda toka upigwe chini kura za maoni ndivyo nazidi kujiridhisha kuwa sikuwa nimekosea kutokukuchukulia mtu makini toka nijiunge Jamii Forums.
Ni mtu unayejifanyaga impartial lakini kumbe sio kweli. Mnafiki na mganga njaa kama wapuuzi wenzio wengi tu.
Pathetic.
Mithread yako huwa imejaa maneno meeengi...lakini mostly ni upumbavu mtupu.
Hivi wajumbe huwa hawaulizi.maswali mle?..baada ya kufanya yote hayo kwanini wajumbe hawakumpa ushindi?
..je, ina maana askofu amefanya makubwa jimbo la kawe kuliko serikali ya ccm?
Hivi wajumbe huwa hawaulizi.maswali mle?..baada ya kufanya yote hayo kwanini wajumbe hawakumpa ushindi?
..je, ina maana askofu amefanya makubwa jimbo la kawe kuliko serikali ya ccm?