malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
NinayoPesa unayo huna?
Haya mtumie acha kulalamikaNinayo
Week 3 siku zote ni harusi au na yeye anaolewa?Habar wanajamiiforum mke Yuko safar ,Yuko ugenini.. ktk harus yandugu zake ana wiki 3 Sasa,alikwenda na watoto 2,nje usafiri nilimpa laki350 kama akiba yamatumiz yake madogo madogo Cha ajabu, Sasa mtoto hata mtoto apate mafua anataka atumiwe Hela ya dawa tu ya 3000 nimebaki nashangaa,hapa nna mke kweli
😂 watu wana moyoWeek 3 siku zote ni harusi au na yeye anaolewa?
Mkuu mtu hata ukiwa nae nyumbani kama niwakuchepuka atachepuka tuMke anaondokaje nyumban wiki 3? Watu mna moyo Kwel uko ex zake lazma waichakate
Mkuu ndo mke amalize Hela zote hata dawa ya 3000 ya mtoto wake mwenyewe akose,basi atakua kageuka muhemeaji wa familia sasaHarusi zinakula pesa balaa,
mshono tu unaambiwa elf 80, sare ziko tatu,,, ya kamati, ya mawifi, ya wadada, acha kabisa bandugu,,
hapa nimetoboka balaa, 😃,,
kikubwa mke unaye mkojoze tu 💦
Labda kaenda Marekani, wiki kwenda na wiki kurudi na wiki ya shughuli yenyewe!Week 3 siku zote ni harusi au na yeye anaolewa?
Mazoea hayo, na ashalijua Jinga lake anapewa hela bado anamkamuaWeek 3 siku zote ni harusi au na yeye anaolewa?
Na umetoa pesa zoteeHarusi zinakula pesa balaa,
mshono tu unaambiwa elf 80, sare ziko tatu,,, ya kamati, ya mawifi, ya wadada, acha kabisa bandugu,,
hapa nimetoboka balaa, 😃,,
kikubwa mke unaye mkojoze tu 💦
Mke anaondokaje nyumban wiki 3? Watu mna moyo Kwel uko ex zake lazma waichakate
Hapana Sina kama mke umempa laki tatu na nusu alafu Hela ya dawa ya mtoto shingi3000 akuombe nimtihani,hapa mke hakuna kabisa,labda awe amefika uko kageuka muhemeaji wa familiaMke unaye na unatamba nae
mtumie mkuu, harusi zinakula pesa,, sasa amuombe nani bwashee😃Mkuu ndo mke amalize Hela zote hata dawa ya 3000 ya mtoto wake mwenyewe akose,basi atakua kageuka muhemeaji wa familia sasa