naaam, 😆Na umetoa pesa zotee
Uchumi wenu upo vzr sananaaam, 😆
Habar wanajamiiforum mke Yuko safar ,Yuko ugenini.. ktk harus yandugu zake ana wiki 3 Sasa,alikwenda na watoto 2,nje usafiri nilimpa laki350 kama akiba yamatumiz yake madogo madogo Cha ajabu, Sasa mtoto hata mtoto apate mafua anataka atumiwe Hela ya dawa tu ya 3000 nimebaki nashangaa,hapa nna mke kweli
acha kumtisha ,Harusi wiki tatu + na za waliomtoa usichana wake humo humo wanaipiga 🔥
Ndiyo iko ivyo mkuu na si alienda kwenye harusi na pesa ishakataHapana Sina kama mke umempa laki tatu na nusu alafu Hela ya dawa ya mtoto shingi3000 akuombe nimtihani,hapa mke hakuna kabisa,labda awe amefika uko kageuka muhemeaji wa familia
Hapana simtishi Ila hata yeye mwenyewe anaujua huo ukweli, cha msingi nyapu haina makombo hvy mke wake aioshe vzr tuu 🔥acha kumtisha ,
kikubwa ioshwe itakate,,
Uchumi wenu upo vzr sananaaam, 😆
Shida sio laki tatu shida nikwamba huna hata 3000 ya dawa katika laki tatu zote ulizokuwa nazoNi ujinga sana kumpima Mke kwa kipimo hicho; Matumizi Mabaya ya mwanamke hupimwa akiwa Nyumbani kwa siku za kawaida, Hemu itafakari 350,000/-
- Ndo hela ya kula njiani na watoto 2.
- Ndo boda boda za dharura.
- Watoto hawajalilia kitu.
- Kama ni jobless, ana Vikoba
- Lazima atoa kidogo huko...
Mwanamke lazima ( Kama Hana kazi ) apate hela kiasi ya ziada not accountable kabisa ( kama una uwezo )
Toa hizo hela si ni mkeo, acha kutafuta huruma hapa!Habar wanajamiiforum mke Yuko safar ,Yuko ugenini.. ktk harus yandugu zake ana wiki 3 Sasa,alikwenda na watoto 2,nje usafiri nilimpa laki350 kama akiba yamatumiz yake madogo madogo Cha ajabu, Sasa mtoto hata mtoto apate mafua anataka atumiwe Hela ya dawa tu ya 3000 nimebaki nashangaa,hapa nna mke kweli
Acha wampulie kisogoni nimaamuzi yake,huwezi mzuia mtu alieahindwa kuthamini utu wakeHuko alipo wamba wanampumulia kisogoni. Shauri yako.
Nidaslamu sio kijijini350000 gawa kwa 21 ni wastani wa 15,000/=. Pia kumbuka yupo kijijini na yeye ndiye aonekanaye anauwezo hivyo matumizi ya ndani anaangaliwa yeye.
Kumbuka pia ulimpa hela ya matumizi sio ya matibabu
Next time usimpeleke mke sehemu akakaa zaidi ya wiki moja.
wanaume wa Africa ni atm ndugu tuvumilie tu ndio hali halisi kila ndoa.Habar wanajamiiforum mke Yuko safar ,Yuko ugenini.. ktk harus yandugu zake ana wiki 3 Sasa,alikwenda na watoto 2,nje usafiri nilimpa laki350 kama akiba yamatumiz yake madogo madogo Cha ajabu, Sasa mtoto hata mtoto apate mafua anataka atumiwe Hela ya dawa tu ya 3000 nimebaki nashangaa,hapa nna mke kweli
Ulishamnunulia nguo za kuvaa kwenye shughuli ya harusi au atoe kwenye hiyo hiyo laki 3?Habar wanajamiiforum mke Yuko safar ,Yuko ugenini.. ktk harus yandugu zake ana wiki 3 Sasa,alikwenda na watoto 2,nje usafiri nilimpa laki350 kama akiba yamatumiz yake madogo madogo Cha ajabu, Sasa mtoto hata mtoto apate mafua anataka atumiwe Hela ya dawa tu ya 3000 nimebaki nashangaa,hapa nna mke kweli