Hapo avae yeye na watoto Bado hajaenda saloon,na amekaa wiki 3 huyo Ni Pro Max wife material!!Ulishamnunulia nguo za kuvaa kwenye shughuli ya harusi au atoe kwenye hiyo hiyo laki 3?
Ndo atuambie kama alishawanunulia nguo au ilitakiwa itumike hiyo pesa kwaajili ya nguo.Hapo avae yeye na watoto Bado hajaenda saloon,na amekaa wiki 3 huyo Ni Pro Max wife material!!
Nihatari sana aiseewanaume wa Africa ni atm ndugu tuvumilie tu ndio hali halisi kila ndoa.
Hiyo laki 3 ninje ya nguo zakuvaa kwenye harusUlishamnunulia nguo za kuvaa kwenye shughuli ya harusi au atoe kwenye hiyo hiyo laki 3?
Hela ya nguo alishanunuliwa tayar hiyo tatu ninje ya bajet ya nguoNdo atuambie kama alishawanunulia nguo au ilitakiwa itumike hiyo pesa kwaajili ya nguo.
Yaan unataka kunambia ukifika ugenini we ndo uwe muhemeaji mkuu kiasi kwamba usema hiyo Hela kajibanaWiki 3 mkuu na watoto 2??? Huyo Ni wife material kabisa na kajua kujibana kweli kweli
Muache oa mwingineHapana Sina kama mke umempa laki tatu na nusu alafu Hela ya dawa ya mtoto shingi3000 akuombe nimtihani,hapa mke hakuna kabisa,labda awe amefika uko kageuka muhemeaji wa familia
Wabei rahisi kivipMbona mke wako wa bei rahisi hivyo???
We unatumia siku ngapi?Wiki 3 mkuu na watoto 2??? Huyo Ni wife material kabisa na kajua kujibana kweli kweli
Fukuza huyoo atakufirisii.Habar wanajamiiforum mke Yuko safar ,Yuko ugenini.. ktk harus yandugu zake ana wiki 3 Sasa,alikwenda na watoto 2,nje usafiri nilimpa laki350 kama akiba yamatumiz yake madogo madogo Cha ajabu, Sasa mtoto hata mtoto apate mafua anataka atumiwe Hela ya dawa tu ya 3000 nimebaki nashangaa,hapa nna mke kweli
Aiseee wanaume kwenye ndoa mnavumilia ujinga mwingi sana.Habar wanajamiiforum mke Yuko safar ,Yuko ugenini.. ktk harus yandugu zake ana wiki 3 Sasa,alikwenda na watoto 2,nje usafiri nilimpa laki350 kama akiba yamatumiz yake madogo madogo Cha ajabu, Sasa mtoto hata mtoto apate mafua anataka atumiwe Hela ya dawa tu ya 3000 nimebaki nashangaa,hapa nna mke kweli
Sehemu ambayo umefika umekaa tu ugeninUmeleta huku ili mkeo apondwe kama sio chai. Nikirudi kwenye mada, hiyo hela ni ndogo amejitahidi kujibana kwa wiki 3.
Wiki tatu laki 3 ugenini let other thing zi remain constant awe anatumia 5000 per dayWiki 3 mkuu na watoto 2??? Huyo Ni wife material kabisa na kajua kujibana kweli kweli