Huyo ndio zuri mzee wa ligi. Anapenda sana kubishana, na kutoa maneno ya kejeli na maneno ya dharau na kujiona kama vile yeye kipanga aliyeshushwa kutoka mbinguni kwamba anajua kila kitu.Ndugu yangu, huyo jamaa tangu nilivyogundua ni mgonjwa wa akili, nilijilaumu sana kutumia nguvu na akili zangu bure kubishana nae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kinachonichekesha, ni vile anavyoandika maneno mengi halafu hakuna kitu ndani yake 😂😂😂😂😂Huyo ndio zuri mzee wa ligi. Anapenda sana kubishana, na kutoa maneno ya kejeli na maneno ya dharau na kujiona kama vile yeye kipanga aliyeshushwa kutoka mbinguni kwamba anajua kila kitu.
Soma majibu niliyo mpa mwenzako FRANCIS DA DON huko nyuma.Wewe ungekuwa makini swali la post namba 218 usingefika post ya 314 ndio uje utoe majibu. Kitendo cha kuacha swali nililokuuliza ni pengine hukua makini au pengine haukuwa na majibu.
Umesema kuwa mtu anaweza kufikia ukamilifu kwa kutumia nyenzo na ala alizopewa.
Nikakwambia nitajie watu waliofikia hilo daraja la ukamilifu. Ukanitajia mitume na manabii kwamba walikuwa wakamilifu.
Nakuuliza swali:
Unapimaje Huo ukamilifu wa hao manabii na mitume je wakati wakiishi duniani au baada ya kufa?
Kama wakati wanaishi duniani, je hao manabii na mitume hawajawahi kufanya makosa ya kibinadamu hapa duniani?
Hao uliosema wamebashiriwa pepo hao hatuwezi kuwazungumzia hapa kwasababu Mimi nahitaji kujua waliopo Sasa au kipindi Cha nyuma.
Naona ukakimbia hukurudi tena, umekuja kama mshabiki.Kinachonichekesha, ni vile anavyoandika maneno mengi halafu hakuna kitu ndani yake 😂😂😂😂😂
Umemjibu kwenye post namba ngapi hilo swaliSoma majibu niliyo mpa mwenzako FRANCIS DA DON huko nyuma.
Sasa sirudii kujibu swali ambalo nimeshalijibu zaidi ya mara moja. Kuweka wazi jambo ambalo liko wazi ni matumizi mabaya ya akili.
Kumbukumbu ya namba ya post siikumbuki, ila ukifatilia majadiliano yangu utaona. Usiwe mvivu.Umemjibu kwenye post namba ngapi hilo swali
kumbe kuila sehemu ya mwili wako rukhsa!! duuuu!!! hay mambo ya kuchukua mbali ulikuwa mpango wa nani??Na ikawaje Adam nae akaanza kula sehemu ya mwili wake mwenyewe?
Facts zipo, ila tukiwaeleza mnatuona tumechanganyikiwa, wacha tunyamaze tu. Ila soma kuhusu ‘evolution’ kama utapata muda.Zote n theories...no body knows the facts..
Sawa, ila kanisa linasema ni zinaa, hata mkiishi miaka 100 chumba kimoja, why?!Watu wazima wa jinsia tofauti wakiisha pamoja kwenye chumba kimoja kwa mda wa miezi 6 tayari hiyo ni ndoa. Hakuna cha Kanisa au Msikiti. Kitendo cha Adam na Eva kuishi pamoja ni ndoa iliyohalalishwa na Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe msitari katika BibliaSawa, ila kanisa linasema ni zinaa, hata mkiishi miaka 100 chumba kimoja, why?!
Tafuta tafsiri ya ndoa ya kanisa, kwamba kufunga ndoa ya kanisa kukojeTupe msitari katika Biblia