Je, harusi ya Adam na Hawa ilifanyikia wapi, nani aliwafungisha ndoa?

Je, harusi ya Adam na Hawa ilifanyikia wapi, nani aliwafungisha ndoa?

 
Hizi dini zimeanzishwa tu na watu na ndizo zilizoleta mambo ya ndoa. Wao kitendo tu cha kuishi pamoja tayari ni ndoa na Mungu akaibariki.
 
 
 
 
Haya mambo ya kufunga ndoa kanisani au msikitini yameletwa na wakoloni ili kutupumbaza akili tuendelee kukamuliwa pesa za kufungishwa ndoa na maaskofu walafi. Kwa siku askofu anaweza kufungisha ndoa 10 na kila ndoa moja ni Tsh laki 5. Kwanini asineemeke?
Je, walifungia ndoa kanisani au msikitini?
 
Back
Top Bottom