FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
- Thread starter
- #441
Hiyo ndoa ya kutamka hayo maneno, iliwahusu adam na hawa pekee au na watoto wao pia? Kama ilituhusu wote pia, kwanini tunafanga ndoa? Kama iliwahusu wao pekee, watoto wa kwanza kabisa wa adam na hawa, walifunga ndoa parokia ipi?MUNGU peke yake ndo aliwafungisha ndoa,nae MUNGU alimwambia ADAM huyu ni ubavu ktika UBAVU wako nae atakuwa msaidizi wako"