Hiyo ndoa ya kutamka hayo maneno, iliwahusu adam na hawa pekee au na watoto wao pia? Kama ilituhusu wote pia, kwanini tunafanga ndoa? Kama iliwahusu wao pekee, watoto wa kwanza kabisa wa adam na hawa, walifunga ndoa parokia ipi?
Sawa sawa, na hili ndilo tunajaribu kuwaelimisha watumwa wa dini zilizokuja kwa majahazi, kila kukicha utawasikia, “mnabariki lini ndoa”? As if hizi za kwetu hazina baraka..