Je, hatua hii ni sahihi kwa mawakili wa serikali kupinga mashahidi wa Lissu kufika mahakamani?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Japo mimi sio nwanasheria, ila najiuliza kama ni sahihi kwa mawakili wa serikali kupinga mashahidi wa Lissu kufika mahakamani kutoa ushahidi kwani alishawataja katika hatua za awali na mawakili wa Serikali hawakupinga.

Sasa swali: Kama hawakupinga mashahidi aliowataja Lissu katika mahakama ya Kisutu, ni sahihi kisheria leo hii katika Mahakama kuu kupinga hao mashahidi kuitwa mahakamani?

Kuna kila dalili hii issue itatinga Mahakama ya Rufaa kwa Lissu kutaka Mahakama ya Rufaa itafsiri hili jambo iwapo Mahakama Kuu itakubaliana na hoja za mawakili wa serikali

Tusubiri
 
Sasa swali: Kama hawakupinga mashahidi aliowataja Lissu katika mahakama ya Kisutu, ni sahihi kisheria kupinga hao mashahidi kuitwa mahakamani katika Mahakama kuu?
1787299041969.jpg
 
Hawa WAHUNI kama alivyowaita Polepole wanaweza wakagoma kwenda Mahakamani.

Trend ya kesi tayari imeshakwenda kama ilivyokuwa predicated. Watamkuta na hatia halafu watapeleka nia ya kutokutaka kuendelea na kesi ili wasidaiwe fidia au wasiwapeleke mahakani hao mashahidi pia kuvuta muda ili waendelea kumtesa kisaikolojia ili aombe msamaha.
 
Nenda ukaongeze nguvu kwenye jopo la mawakili wa liss pale mahakamani....hakuna public sympathy hapa
 
Japo mimi sio nwanasheria, ila najiuliza kama ni sahihi kwa mawakili wa serikali kupinga mashahidi wa Lissu kufika mahakamani kutoa ushahidi kwani alishawataja katika hatua za awali na mawakili wa Serikali hawakupinga.

Sasa swali: Kama hawakupinga mashahidi aliowataja Lissu katika mahakama ya Kisutu, ni sahihi kisheria leo hii katika Mahakama kuu kupinga hao mashahidi kuitwa mahakamani?

Kuna kila dalili hii issue itatinga Mahakama ya Rufaa kwa Lissu kutaka Mahakama ya Rufaa itafsiri hili jambo iwapo Mahakama Kuu itakubaliana na hoja za mawakili wa serikali

Tusubiri
Akienda huko mahakama ya rufaa ndiyo watafurahi ili muda uendelee kupotea.
 
Back
Top Bottom