Je, haya maji ni salama? Tulipata maji haya Geita mwaka 2019

Hiyo ndio shabu? asee hata kwenye matope inafanya kazi very well.
Lengo kuu ni kutibu maji kwa kuua bacteria na vijidudu vingine kwenye maji ili yawe salama.
Kiitaamu inaitwa water chlorination.
 
Uchungu Itakuwa wamezidisha Chlorine ya kuuwa wadudu. Huo weupe ni air bubbles zilizokuwa trapped ndani ya maji due to high pressure, yakitulia hiyo hewa itatoka na maji yakuwa meupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…