Je, haya yalikuwa ya kweli kuhusu Rais Gaddafi na Libya?

Tanzania [emoji1241] ipi [emoji1787][emoji3][emoji1787]
Amueni basi nanyie kama mambo marahisi
 
Ndio maana wazungu wanataka tulane matako wenyewe wanajua kila wanalosema kwetu tunashindwa kuhoji tunabakia kufuata kama mambuzi
Hili ni la watu wawili walioamua na si wazungu.

Labda kama kuna sehemu wanawakamata watu na kuwalazimisha.

Upumbavu wa watu wawili walioamua maisha yao ya we hivo na si wazungu.
 
Tanzania ipi inaiongelea hii hii ya chipukizi[emoji16][emoji16]


Bora useme kenya au rwanda
Hata huku Kenya [emoji1139] kwenyewe hawawezi mzeee

Viongozi wakiafrika wengi wabinafsi yaani haya maisha tunayoishi yanaweza kubadilika ila ubinafsi wao sasa

Kwasasa kwa waafrika hilo suala tusahau na libya [emoji1149] walolipoteza pole yao maana kwa sasa wanatamani muammar aamke ila wapi tena
 
Hili ni la watu wawili walioamua na si wazungu.

Labda kama kuna sehemu wanawakamata watu na kuwalazimisha.

Upumbavu wa watu wawili walioamua maisha yao ya we hivo na si wazungu.
Wazungu kwani pale Uganda hujui kinachoendelea

Sasa kama nifaragha za watu wawili kwanini wanatumia nguvu kubwa kuyafanya hayo mambo yawe sheria ama yatambulike

Unadhani ushoga awali na usagaji haukuwepo mzeee

Ila ulikua unaona zinatumika hizi nguvu za WB na IMF kuwanyima watu misaada kisa wanapinga huo ujinga

Wazungu wanatumia nguvu kutulazimisha ujinga wao ndio maana hata kwenye ma simu kwasasa baadhi wanaleta uchague gender wewe nani kuna mpaka gay lesbian ujinga mtupu
 
Mkuu wazungu si watekelezaji!

Yaani wao wanasema hao watu wana haki ya kuishi.
Point inabaki pale pale wanaofanya ni watu wawili waliokubaliana na si wazungu.

Ninakuambia bwana utam, sitaki umpige mtoto wako hata akifanya nini Halafu mm naondoka. Huwezi kuacha kumchapa mtoto endapo kakosea kisa mimi nimesema usimuadhibu.

Inabidi ifike mahala tupate sel-awareness sisi wenyewe.

Hakuna mzungu aliyelazimisha kwa nguvu watu wa Hindus moja wakutane kimwili.

Mama samia kasema kuna baadhi ya mila tuachane nazo, wao walishasema kinachobaki sisi kama wazazi kuwafundisha watoto wajue lipi sawa lipi sio.
 
Wao hawana nguvu ama hawana uwezo wakumchukua mtu na mtu wakawaambia waingiliane hili lipo wazi

Ishu yangu nikwamba wao wamekua wazuri kwenye kusema na kulazimisha matakwa yao yafuatwe

Kiasi kwamba ukipingana nao wanajiona wana haki yakukufanya wanalojisikia kukufanya

Hujui ama hujasikua ama hufatilii linaloendelea uganda

Kama wananguvu yakufungia hata radio au tv inayopinga ushoga unadhani kwasisi wakubwa tutapambana

Haya vipi kwa vijana wanaozaliwa leo ama wenye miaka mitatu kwasasa
 
Huo Uchumi unaosema wewe ni WA vita kaangalie Uchumi wa Libya miaka ya 2008-2012 kuelewa ulikua ni mara 2 ya huo na GDP per Capita ilizidi $10,000
 
Tanzania ipi inaiongelea hii hii ya chipukizi[emoji16][emoji16]


Bora useme kenya au rwanda



Tanzania [emoji1241] ipi [emoji1787][emoji3][emoji1787]
Amueni basi nanyie kama mambo marahisi



Tukiacha UFISADI na tukaweka UZARENDO
inawezekana kabisa

MAGUFURI alianzia kwenye UMEME akaweka elf27 kuunganisha umeme na iliwezakana na SHIRIKA lilikuwa limeanza kufanya kazi Kwa uweredi na alikuwa anasubiri bwawa lipone GHARAMA za umeme zingeshuka BEI zaidi

Walivyokuja MAFISADI wakapandisha mpk laki 3 na ushee then wakauleta MGAO wa KIHISTORIA

kam mwigulu umesikia huko kalamba 1.3 trn
Unadhani SERIKALI ingekuwa ya kizarendo ingeshindwa kuwajengea Nyumba wazee tu VIJIJINI wasiojiweza kajumba tu cha milioni 10 simple katika hayo matilioni walioiba huko SGR wangewajengekea wazee wangapi

Ndo maana nitakuambia vyote vinawezeka ikiwa UZARENDO
 
Kama wananguvu yakufungia hata radio au tv inayopinga ushoga unadhani kwasisi wakubwa tutapambana
Be responsible fundisha watoto hilo jambo si zuri.

tusijiumize sana, suala la kupinga hao watu wasiwe vurnelable kwenye jamii, kama kutengwa kupigwa nk

Pointi ni moja acha waongee watekelezaji ni sisi.

Acha waongee, na hakuna haja ya kuendelea kuongelea hili jambo sababu ni kama tunaendelea kulipa nguvu.

watekelezaji si wazungu ni watu wawili watu wazima walioamua wenyewe.
 
Serikali zote za kifalme zipo hivyo na watu wametulia, issue ya Libya ni mapandikizi, Tripoli mji mkubwa wa Libya ulikua na maandamano makubwa sana kumkubali gadafi.

Pia Leo hii mtoto wa Gadaffi anataka kugombania uraisi wa Nchi ila anawekewa vikwazo vya Kila namna, hao wanaojiita Machampion wa Demokrasia wapo radhi Nchi iongozwe kijesgi ama kidikteta lakini hawataki uchaguzi wa haki na raia wachague wanayemtaka.

Kifupi huu Ugomvi hauhusiani na kama raia wanamtaka ama kutomtaka Gadaffi.
 
Kuongea hua hakuchezi mbali na utekelezaji mzee

Nandio maana wao mwanzo walikua wanaongea tu kwasasa utekelezaji umekua mkubwa

Uzuri ama ubaya nikwamba mtoto halelewi na baba na mama tu ama na wazazi wewe utafundisha hiki kule akienda atafundishwa kile

Ndio hapa mtoto unamkosa unadhani wewe kwakumwambia hiki kibaya na kile kizuri tu inatosha ingawaje sio jambo baya ni wazo zuri

Au unadhani mashoga na wasagaji wote wazazi wao hawakua wawajibikaji
 
Idd Amin nae akaliwa kichwa na Nyerere.
 
Wazungu wote sio wanademokrasia kama wanavyo jihubiri

Wazungu ni wanafiq na maslahi binafsi pekee

Ukiwa Mfalme ukaenda na maslahi yao basi wataenda nawe vyema kabisa pitia jordan misri uae qatar bahrain nk

Ukiwa na demokrasia halaf ukawa huendani nao watakuita tu kama huna demokrasia ya kweli pitia iran Russia nk
 
Mkiacha huo ufisadi njoo unambie

Haiwezekani mpaka iwezekane mzee mwenzangu

Huwezi kusema mimi naweza kufanya vile wakat hata kujaribu hujawahi

Yaani bado mupo na safari ndefu sana sana sanaa
 
Karne ya 21 ...bado watu wanajadili maji uunganishwaji


Kuchangisha pesa kwa ajili ya timu ya taifa


Ndio tufike uko cjui
 
Tafuta kitabu kinaitwa "Gaddafi's Harem: The Story of a Young Woman and the Abuses of Power in Libya" by Annick Cojean.

Ameelezea vizuri Gaddafi alivyoharibu Libya na kuua watu, mpaka ma Jenerali wake mwenyewe, kitu kilichokuja kum cost sana.

 
Lakini wa Ghana nao viazi... Kwame alikaa km PM kwa Miaka Mi3 tu ..... 1957 - 60 kisha Ikulu km Rais kwa muda mfupi tu ... 6 yrs... 1960 - 66... wangesubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…