Je, haya yalikuwa ya kweli kuhusu Rais Gaddafi na Libya?

Kwanza Libya haikuwa serikali ya kifalme, ilikuwa ni Jamuhuri japo Gaddafi alijigeuza kama mfalme. Pia hata katika hizo nchi za ufalme kamili raia hawajutulia katika hizo serikali za Kifalme kama Saudi Arabia, ni nguvu kubwa tu inayotumika kuwanyamazisha.
 
Kwamba wote hawana akili mpaka wachonganishwe na kwel wapigane?
 
Haya, fanya editing maandiko yako.

Halafu tueleze bini jilichopo sasa hivi ambacho kinakufanya usidanganyike kilikuwa hakipo wakati wa Ghaddafi?
 
Mbn comments zako zimekaa kama muathirika wa utumwa fulani hivi kuliko uislam wenyewe.
 
Gadaffi alilewa madaraka wala hakusoma alama za nyakati,akili zake aliona ziko juu ya walibya wote kitu ambacho kilidhihirisha udhaifu wake.Tatizo la hawa madikteta namna yao ya utawala hujenga chuki ya muda mrefu kwa watawaliwa matokeo yake ni kung'ang'ania madaraka wakihofia retaliation.
 
Kuwa na mitazamo tofauti ndio tatizo
Katika uhalisia kutofautiana mitazamo ndo ukomavu wa kifikra!

Serikali nyingi hasa za kiarabu na kiafrica huwa wana tabia ya kutengeneza adui bandia na kila wanapofanya udhaifu bas haraka sana huaminisha tabaka tawaliwa kwamba sababu ni flan mfano rahis wakati wa Magufuli Kuna namna anko magu alizingua kwenye mikataba tuliyoingia na mataifa mbali mbali akaivunja bila kufata utaratibu baadae ndege zilivokua zinakamatwa ili tulipe fidia tukaambiwa shida ni "ubeberu" "MABEBERU" "hujuma za MABEBERU"

Pia mataifa ya kiarabu unakuta Wana tawala za mda mrefu zinazofuata sheria za zamani zinazowabana raia, sheria kandamizi kwa wanawake na yenye Kila aina ya madhila lkn wananchi wanapotaka reformation watawala husingizia "marekani na washirika wake"
 
Na ww acha uongo magufuri hajaanzisha umeme wa 27,000 hiyo 27000 ni mradi wa umeme wa REA ulio buniwa na kikwete kwa ufadhiri wa serikali ya Denmark na mpaka magufuri anaingia madarakani zaidi ya vijiji 5000 vilikuwa vimeunganishwa na umeme kwa bei hiyo na vifaa vyote vya mradi huo vilikuwa vimesha lipwa acha kumpa sifa zisizo zake.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Vipi na sirikali ya kifalme kule UK [emoji636]
 
Kama kulewa madaraka hata ukoo wa mfalme Charles nao umelewa madaraka pia musisahau
 
Propaganda..waandamanaji gani wanajua kupigana Vita kwa kutumia silaha nzito!?..haitoshi,rais wa ufaransa akatuma majasusi maalum kumuua Gaddafi, mwamba alikua anaelekea kukata mirija ya wazungu hasa ufaransa,wakaona wamuwahishe,lakini muhuni Putin Leo kaingia kati
 
Ila vile walivyomfanya haikuwa poa kabisa.
Wangemkamata tu. Kile kitendo cha kumkamata, wakampiga, wakamlawiti na baadaye kumuingiza vijiti haikuwa poa kabisa.
Ila nimesoma mahala kuwa ushahidi upo tayari kuna watu watachukuliwa hatua kwa kitendo cha kumlawiti mateka na kumuua kitu amnacho ni kinyume na sheria za kimataifa kuhusiana na mateka wa kivita.
 
Si kweli, Mimi nazifahamu vizuri Nchi za Gulf, karibia nusu ya ukoo wangu upo huko, they adore their leaders vibaya mno, sometime mpaka inaboa, cricism za viongozi wa Gulf siku zote zipo kwenye sera za kimataifa ila relationship baina ya raia na viongozi ipo vizuri.

Ukitaka kujua hilo angalia Arab spring wakati ule Egpty, Algeria, Tunisia, walimwagika mitaani, ila Nchi za Gulf maandamano kidogo na hayo kidogo lengo halikua kuwatoa viongozi madarakani Bali kudai mambo mengine.

Na ufalme, Sultan, Amir, fuhrer, prince etc hayo ni maneno tu, mfumo aliotumia Gadaffi ndo huo huo nchi nyengine za Gulf walitumia.
 
Wale walikua majasusi wa ufaransa, Gaddafi alikua na mafaili yao mengi ikiwemo kuwafadhili pesa za kampeni nk
 
Hapo Egpty sababu raisi aliechaguliwa kidemokrasia haendani nao kapinduliwa sasa hivi kuna dictator na hakuna uchaguzi na husikii kelele popote sababu ni dictator wao, hizi porojo za Demokrasia ni pale tu maslahi yao yakiguswa.
 
Wanasema aliwakosea kwa kupinga Petrodollar system na Central Bank kwa kupendekeza Gold backed Dinar iwe ndio pesa ya Afrika......Hii ilionwa kuwa Ni chalenji Kubwa kwao hasa kuzuia biashara yao ya Mafuta kuuzwa na kununuliwa kwa Dollar.... Yaani Currency isiyo na Deni kuireplace au kupindua Benk za magharibi katika ardhi ya Afrika.

Us Gov na mshirika wake France ( Jeshi ) wakaamua kuiharibu Libya kwa kigezo Cha ugaidi Usio na sura Wala jina.
#Propaganda Project.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…