Je, haya yalikuwa ya kweli kuhusu Rais Gaddafi na Libya?

Hiyo ambayo haiweiz hata kupanga kodi, kupeleka au kuzuia majeshi kwenda vitani?
Hivi familia za waingereza wengine mbona wao cake ya taifa hawaili ni kijifamilia kimoja kimejimilikisha nchi na makoloni yake
 
Hapo Egpty sababu raisi aliechaguliwa kidemokrasia haendani nao kapinduliwa sasa hivi kuna dictator na hakuna uchaguzi na husikii kelele popote sababu ni dictator wao, hizi porojo za Demokrasia ni pale tu maslahi yao yakiguswa.
Kabisa kabisaaa
 
Hivi familia za waingereza wengine mbona wao cake ya taifa hawaili ni kijifamilia kimoja kimejimilikisha nchi na makoloni yake
Bajeti ya misaada ya Uingereza kwa mwaka ni dola bilioni 15, bajeti ya ufalme wao kwa mwaka ni dola million 100.
 
Ila inaweza kumuidhinisha waziri MKUU napia nisirikali ya kifalme
Kumuidhinisha waziri mkuu chukulia kama vile makamu wa Rais wa Marekani anavyomuidhinisha Rais mpya wa Marekani kila baada ya uchaguzi mkuu.
 
Bila kusahau sasa tuna sheria za kuwalipa wenza wa wastaafu pesa ya umma na wakati huo huo watoto wa maskini Wana kaa chini kwenye shule za Elimu bure.
Hamna hoja hapo hao wazee wastaafu wanajulikana waligombania hizo nafasi ama waliteuliwa

Familia ya kifalme inapigiwa kura nanai yakua pale inapokua ndio hoja yamsingi au wao pekee ndio wanastahili kule waingereza wengine wote?
 
Kumuidhinisha waziri mkuu chukulia kama vile makamu wa Rais wa Marekani anavyomuidhinisha Rais mpya wa Marekani kila baada ya uchaguzi mkuu.
Usinambie nichukulie anamuidhinishaje kiongozi wa kisiasa wakati hana mamlaka ya kisiasa kama mnavyoaminishwa

Umetolea mfano marekani marekani ipi hii hii ya biden ama

Kama ndio hio nayo wala sio yakuitaja sababu nawao wenyewe hawajui hata demokrasia imekaaje kaaje kama hao waingereza
 
Hamna hoja hapo hao wazee wastaafu wanajulikana waligombania hizo nafasi ama waliteuliwa

Familia ya kifalme inapigiwa kura nanai yakua pale inapokua ndio hoja yamsingi au wao pekee ndio wanastahili kule waingereza wengine wote?
Mkuu ile ni Constitutional monarchy,sasa unataka mfalme au Malkia wachaguliwe kupitia kura kinyume na utaratibu na katiba yao ?
 
Siku zake nae zinahesabika pia
 
USHAANZA LAWAMA KAMA MWANAMKE WA KIZANZIBAR.......KWANI WALIOMUUA GADAFI WAFARANSA....
ANGALIA CLIP YAKE WAKATI WANAMUUA
 
Na waislamu wwabantu wa darfur wanaouliwa na WARAABU wa janjaweed unaunga mkono???
 
Huo Sasa si ndio ujinga wa Waafrika aliosema Trup

Nenda wewe Muafrika ukawashawishi wazungu wapigane kama watakusikiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…